Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
UTI
asilimia kubwa ya wadudu (e.coli)
wanaosababisha UTI huishi kwenye kinyesi. Kwenye njia hiyo wadudu hawa hawasababishi shida yoyote lakini wakiahama kwenda kwenye njia ya mkojo ndiyo huleta shida ya UTI. Na ndiyo maana wanawake wanapata UTI kwa urahisi kwasababu ni rahisi kuwahamish wakati wa kujisafisha na maji. Zamani wakati wa magunzi, magazeti na majani huu ugonjwa ulikuwq hausikiki kabisa. Hata vijijini wanakoendeleza utamaduni wa mtanzania(majani, karatasi na magunzi )ugonjwa huu upo chini sana.
VIDONDA VYA TUMBO
Hivi kwa sehemu kubwa hutokana na bakteria waitwao H. Pyroli. Hawa nao husambazwa pale mtu mwenye nao anapowahamisha kwa mwingine kupitia chakula.
Magojwa mengine ya tumbo na kuhara kama Typhoid, Amiba nk.
Hapa nashauri turudi kwenye 'maadili' ya mtanzania, hali ni mbaya sana.