Kuchambia maji kunachangia kwa magonjwa kwa kiasi kikubwa sana? Turudi kwenye magunzi na majani.

Kuchambia maji kunachangia kwa magonjwa kwa kiasi kikubwa sana? Turudi kwenye magunzi na majani.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
UTI
asilimia kubwa ya wadudu (e.coli)
wanaosababisha UTI huishi kwenye kinyesi. Kwenye njia hiyo wadudu hawa hawasababishi shida yoyote lakini wakiahama kwenda kwenye njia ya mkojo ndiyo huleta shida ya UTI. Na ndiyo maana wanawake wanapata UTI kwa urahisi kwasababu ni rahisi kuwahamish wakati wa kujisafisha na maji. Zamani wakati wa magunzi, magazeti na majani huu ugonjwa ulikuwq hausikiki kabisa. Hata vijijini wanakoendeleza utamaduni wa mtanzania(majani, karatasi na magunzi )ugonjwa huu upo chini sana.

VIDONDA VYA TUMBO

Hivi kwa sehemu kubwa hutokana na bakteria waitwao H. Pyroli. Hawa nao husambazwa pale mtu mwenye nao anapowahamisha kwa mwingine kupitia chakula.

Magojwa mengine ya tumbo na kuhara kama Typhoid, Amiba nk.

Hapa nashauri turudi kwenye 'maadili' ya mtanzania, hali ni mbaya sana.
 
Sasa hivi huoni ushauri wa busara ungekuwa ni kutumia maji, na kabla ya kuinuka, utumie vifaa vingine kama toilet paper kujikausha ili yale maji yasichruzikie kwenye njia mkojo? Au kuna watu wanachamba kwa kutumia maji wakiwa kwenye stail ya mbuzi kagoma

Mbuzi.png
 
Kwahiyo Bakteria anaishi kwenye Mavi ambako ni tumboni halafu ukichambia maji anahamia....Laah! basi tuchambie Sanitizer tu
 
[post: 38796264, member: 612366"]
Sasa hivi huoni ushauri wa busara ungekuwa ni kutumia maji, na kabla ya kuinuka, utumie vifaa vingine kama toilet paper kujikausha ili yale maji yasichruzikie kwenye njia mkojo? Au kuna watu wanachamba kwa kutumia maji wakiwa kwenye stail ya mbuzi kagoma

[/QUOTE]
Mi naonelea bora tuwe na utaratibu wa toilet paper kwanza, kukiwa clear maji ndiyo yafuate. Hii ishu ni kama ya mzaha ila ni tatizo kubwa sana. Ndiyo chanzo cha vidonda vya tumbo vidivyopona na Tuphoid sugu. Mtu anapona, anaenda kula mgahawani anaambukizwa tena na muandaa chakula, na mkata kachumbari.
 
UTI
asilimia kubwa ya wadudu (e.coli)
wanaosababisha UTI huishi kwenye kinyesi. Kwenye njia hiyo wadudu hawa hawasababishi shida yoyote lakini wakiahama kwenda kwenye njia ya mkojo ndiyo huleta shida ya UTI. Na ndiyo maana wanawake wanapata UTI kwa urahisi kwasababu ni rahisi kuwahamish wakati wa kujisafisha na maji. Zamani wakati wa magunzi, magazeti na majani huu ugonjwa ulikuwq hausikiki kabisa. Hata vijijini wanakoendeleza utamaduni wa mtanzania(majani, karatasi na magunzi )ugonjwa huu upo chini sana.

VIDONDA VYA TUMBO

Hivi kwa sehemu kubwa hutokana na bakteria waitwao H. Pyroli. Hawa nao husambazwa pale mtu mwenye nao anapowahamisha kwa mwingine kupitia chakula.

Magojwa mengine ya tumbo na kuhara kama Typhoid, Amiba nk.

Hapa nashauri turudi kwenye 'maadili' ya mtanzania, hali ni mbaya sana.
Nakumbuka enzi za kuchambia magunzi na majani, jamaa ilikua usiku kamaliza Haja yake akachukua majani kuchambia, lahaula! Kumbe majani yenyewe ni UPUPU, kisanga alichokumbana nacho sio chakawaida
 
Kuna Siku nilienda choo cha Ubungo Mawasiliano baada ya kubanwa na tumbo.

Nilipoona kona ya mlango kuna rangi rangi ya udongo mfinyanzi, nilikumbuka mbali sana.
mzee usinikaushie mimi raia mwema tu sema mapito tu
 
Sasa kama vyoo hivi vya kisasa hayo magunzi yatatupwa wapi kwanza yatatoka wapi[emoji3] unakuta nyumba moja inawapangaji 6 na kila mmoja watoto 2-4 uwii hayo magunzi haa haa kila siku canter 1 inashusha mzigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakurya wanachambia mawe thatha!!
Sasa wanayafuata huko yaliko au wanayasomba nyumbani? Sipati pic kama jua limewaka ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lazima kutakuwa na sugu na huwezi tofautisha huyu ke/me haa haa
 
Kuchambia gunzi na mawe hata ushoga usingekuwepo kama inavyosadika kipindi hiki.​
 
Back
Top Bottom