Opportunists at work !! Lakini sio mbaya sana maana ndivyo tulivyo waTz ,Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
Kwenye nchi hii nani siyo Mwanasiasa ,mechi ilopita alikua Nape Nauye mbona hukulalamika? Na ni haki gani unanyimwa? Kwan kukunua tiketi ni mpaka uonyeshe kadi ya CCM?Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
Subiri Simba kama watabamizwa na Orlando ndio watawajua wenye Simba yao !! Aliyetoa mualiko itabidi ajieleze sana na sijui kama watamuelewa !!Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
Na kwa ujinga huu lazima watatolewa mapema ili wakomeLeo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
Safi mkuuBasi siendi na simba wafungwe tu.
Unadhani waziri wa Michezo angealikwa kingekua na kelele hizi?Wageni Rasmi Wengi wana Vyeo Fulani. Ss Sijui mgeni Rasmi Gani Mlitaka.
Dikteta wenu nilikuwa simpendi. Walichofanya Simba ni ujuha!Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.