Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

Ndiyo unavyodanganya watoto wa watu hivyo! Ulidanganya watu hapa ooh JWTZ wamenitumia DM wanasema nyie tokeni tu wao watamaliza kazi! Ooh JWTZ wako na waandamanaji

Kiko wapi? Takataka kabisa
Wewe fisadi hebu weka hapa risiti za malipo ya watu waliolipwa kuandamana.

Jana mkadanganya watu mtu kapokea bilioni 5 kwenye simu.

Ni ajabu sana mtu kudanganya wazi kwa kitu ambacho hakiwezekani.
 
Hawa wanaharakati wenu wapimwe akili kwa kweli!. Kwa hiyo wanataka kuandamana siku ya Christmas au? 😁😁

Mkiambiwa hamna akili mnakasirika! Sasa hiki ni nini? Tuliwaambia hela ya Soros ni ngumu za na kuitafuna bila kupaliwa!..
 
Wewe fisadi hebu weka hapa risiti za malipo ya watu waliolipwa kuandamana.

Jana mkadanganya watu mtu kapokea bilioni 5 kwenye simu.

Ni ajabu sana mtu kudanganya wazi kwa kitu ambacho hakiwezekani.
KIKO WAPI?

Tuliwaambiwa watu wana ajenda zao na waliowatuma hamkuwa mnasikia!

Haya sasa mnaambiwa sijui shemeji yenu blah blah gani mara sina hela sijui sishauri kuandamana mpaka Christmas😁😁 mara sijui hashtag ya kuzuia utalii..

Yaani maandamano yafanyike Christmas ili iweje? Kwani JWTZ hawatumi tena meseji DM za kuwaunga mkono mchukue nchi?

HAMNAGA AKILI KABISA YAANI!...
 
Fisadi unahangaika sana, naona wewe ndio unaendesha account ile ya Mlawa.
 
Fisadi unahangaika sana, naona wewe ndio unaendesha account ile ya Mlawa.
Khaaa sasa hii ndiyo hotuba ya RAIS yaaani!.. 🤓🤓🤓

Muda wote tumejipanga yaani! Njooni mtakuta tumejipanga yaani!...

Mmesikia nyie wanaharakati!?
 
Leo ndiyo Watanganyika tumedhihirisha kuchanganyikiwa kwa Rais Haram aliyepata Div. IV O Level.
 
Rais Samia kaongea kama Rais 😅
 
Leo ndiyo Watanganyika tumedhihirisha kuchanganyikiwa kwa Rais Haram aliyepata Div. IV O Level.
Mbona kama mmeumia sana? Yaani mlitakaje? Rais aje aombe msamaha? Aje kuwabembeleza?

Yaani mchochee vurugu na kuchoma mali za watu halafu mtegemee mbembelezwe? Nyie ni magaidi na perpetrators wa machafuko uliyoita maandamano

Mmepewa salamu kuwa kama mnaweza andamaneni tu hiyo siku ya Krismasi halafu muone!..
 
Hivi hawa watu wanamchukuliaje Rais? Walitegemea aje kuwabembeleza au?

Yaani mtake kupindua serikali halafu mbembelezwe? Kwamba nyie nani? Au mna umuhimu gani?
 
Toeni upumbavu hapa!. Yaani mlitaka criminals waliochoma moto maliza watu na serikali wabembelezwe?
 
Nyie ndio mnakufaga ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…