Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

HUKU SASA NI KUCHANGANYIKIWA NA KUTOKUWA NA AKILI KWA WANAOJIITA WANAHARAKATI...

Moja ya sifa za hovyo sana za wanaojiita wanaharakati ni kuwa watu wasiotaka kila kitu na hawataki kusikia mambo tofauti na wanavyowaza wao na kufikiri wao.

Mheshimiwa Rais Samia amehutubia bunge jana na moja ya mambo ameongelea ni kuhusiana na mamlaka husika kuangalia uwezekano wa kuachilia waandamanaji na wafanya vurugu waliochoma vituo vya mafuta na vituo vya mwendo kazi na maduka na magari kwa kufuata mkumbo tu!

Baada ya kauli hii wanaojiita wanaharakati wamelipuka kwa hasira sana na sasa hawataki watu waachiliwe kwa kuwa wanajua wakiachiliwa watakosa cha kuongea na kufanya kujustify uwepo wao kwa wanaowalipa ! Ndiyo maana unaona kelele nyingi sana zinatokea kila kona na hawataki watu waaachiliwe.

Yaani una akili zako timamu kabisa unakataa na hutaki watu waachiliwe kutoka jela na mwingine amekwenda mbali zaidi anasema ananukuu katiba kuwa hairuhusiwi kuachiliwa watu wenye kesi ya uhaini lakini wanasahau kuwa walikuwa wanapayuka huku kutaka Lissu, aachiwe wakati ana kesi ya uhaini vilevile.. HAO NDIYO WANAHARAKATI SASA...YAANI HAWATAKI KILA KITU WAO

Kuna mwingine anasema eti kwenye kamati ya maridhiano wao mjumbe wao ni Mdude! Inashangaza sana yaani kuona tuna watu kwenye jamii wana akili za hivi., Sasa Mdude anakuwa mwakilishi kutoka wapi au kutoka kundi gani la kijamii? Au mwenzetu anajua aliko Mdude mpaka anasema huyo ndiyo mjumbe wao? Hizi ni dalili za ujinga na wendawazimu kabisa.

HALAFU kuna kitu hawa wanaojiita wanaharakati wanapaswa kujifunza na kuelewa kuwa siyo lazima kila mtu awe ana mawazo kama wao. Yaani wao wasifikiri mawazo yao ndiyo mawazo ya watanzania wote au mawazo yao ni mawazo ya nchi nzima. Yaani wanavyowaza wao akitokea mtu anawaza tofauti na wao tayari inakuwa nongwa na mhusika anaoga matusi ya kutosha.. Hii ni dalili pia ya ugonjwa wa akili na huwezi kuwa mwanaharakati unayedhani kila mtu lazima awaze kama wewe ..

Ninyi mmechagua kuwa wapinzani wa kila kitu na mmeamua kuwa wachochezi kwa jinsi mnavyofanya harakati zenu wengine wamaamua kuwa upande wa pili na hawataki kuwa sehemu ya ambo yenu lakini bado hamtaki. Sasa mnataka nini yaani? Yaani inawezekanaje kila kitu mnachowaza na kufanya mnataka na wengine wafanye hivyo na wawaze hivyo ? Hiyo haiwezekani na huo ni ujinga wa hali ya juu sana

Rais Samia amesema hivi " Kushiriki uchaguzi ndiyo njia salama ya kubadilisha viongozi wanaowataka ,njia nyingine zozote ni kutafuta shari" .. Inawezekana wengi hawakuelewa hii kauli lakini ukweli ni kuwa wanaharakati wanadhani kuchochea vijana kuvamia Ikulu ndiyo njia sahihii ya kumtoa Rais Samia madaeakani. Hiyo haiwezekani ndiyo maana pamoja na vurugu mlizochochea bado uchaguzi ulifanyika na Rais na makamu wake wakaapishwa na jana amefungua bunge na serikali inaendelea kuundwa na kufanya kazi. Sasa sijajua mnawezaje kuingia Ikulu kwa mlango wa nyuma na chaguzi mlikataa wenyewe kushiriki!

Ninyi mmeamua kutoshiriki uchaguzi na mmeamua kujikita kwenye kuchochea vurugu basi endeleeni na mambo haya kwa kuwa huenda hiyo ndiyo njia sahihi kwenu lakini wanapotokea watu hawaungi mkono mambo yenu msiwaone siyo watanzania.

Kama sasa mmefanikiwa kwa kiasia kikubwa sana kuharibu miundombinu ya mwendokasi kule Kimara mpaka Magomeni na hakuna usafiri kwa wananchi. Wananchi wa maeneo hayo wanateseka sana kupata usafiri kwa kwenda mjini na wanateseka haswa. Haya ni mambo mliyoyapenda kuyaona yanatokea na sasa tulidhani mnajinsi ya kuwapa wananchi hawa usafiri na kuwasaidia maana haya ni matunda ya kazi yenu.

Mmechochea sana watu wamechoma vituo vya mafuta moto na tumeembiwa zaidi ya watu 300 wamekosa ajira na ni imani yetu sasa Maria Sarungi na genge lake mmeshawapatia ajira hawa kutokana na zile hela mmepokea kutoka Open Society kwa ajili ya shughuli ile ya Oktoba 29.

Hawa perpetrators na plotter wa machafuko haya hawataki watu waachiwe kwa kuwa watakosa kazi ya kufanya na kulipwa
 
Umepata wapi nguvu ya kuandika haya yote?!🤔
 
Ni nani aliyesababisha hayo matatuzi lukuki alafu anakuja kupunguza chembe ? Binafsi bila watu kuwajibika kwa mauaji tena sio kupoteza tu kazi bali na kunyea debe taona ni muendelezo wa kuchezeana akili...

Mheshimiwa Rais Samia amehutubia bunge jana na moja ya mambo ameongelea ni kuhusiana na mamlaka husika kuangalia uwezekano wa kuachilia waandamanaji na wafanya vurugu waliochoma vituo vya mafuta na vituo vya mwendo kazi na maduka na magari kwa kufuata mkumbo tu!
Haramau
Haramu
Haramu
Haramu.

Hatambuliki
FB_IMG_1763209335606.jpg
 
Acha uongo acha kupotosha hakuna mwanaharakati kasema watu waliokamatwa kwa uonevu wako wenu na Polisiccm wasiachiwe huru, acha propaganda za kifalafala, Nchi ya mfumo wa vyama vingi na kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali na wewe zwazwa uliyekula Rushwa umeshiba umevimbiwa unaandika story ndefu isiyo na point hata moja, huwezi kuwapingia wapinzani cha kusema kukosoa Serikali yenu dhalimu.

Kama una Akili Timanu anza kuwakataza waache utekaji kuua watu kuwabambikia kesi za uongo ufisadi kuiba kura watangaze uchaguzi upya maana hakukuwa na uchaguzi kuna uchafuzi kuchezea pesa za walipa kodi, kama ccm walitegemea utawatetea mitandaoni wamefeli kwani huna point ya kuchukua endelea kula pesa za maccm bure ingawa wakisoma comment za waliokujibu hawatakulipa posho yako leo
 
Kwa upeo wao mdogo wanadhani uanaharakati ni kupinga Kila kitu!
 
Wanaukumbi.

HUKU SASA NI KUCHANGANYIKIWA NA KUTOKUWA NA AKILI KWA WANAOJIITA WANAHARAKATI...

Moja ya sifa za hovyo sana za wanaojiita wanaharakati ni kuwa watu wasiotaka kila kitu na hawataki kusikia mambo tofauti na wanavyowaza wao na kufikiri wao.

Mheshimiwa Rais Samia amehutubia bunge jana na moja ya mambo ameongelea ni kuhusiana na mamlaka husika kuangalia uwezekano wa kuachilia waandamanaji na wafanya vurugu waliochoma vituo vya mafuta na vituo vya mwendo kazi na maduka na magari kwa kufuata mkumbo tu!

Baada ya kauli hii wanaojiita wanaharakati wamelipuka kwa hasira sana na sasa hawataki watu waachiliwe kwa kuwa wanajua wakiachiliwa watakosa cha kuongea na kufanya kujustify uwepo wao kwa wanaowalipa ! Ndiyo maana unaona kelele nyingi sana zinatokea kila kona na hawataki watu waaachiliwe.

Yaani una akili zako timamu kabisa unakataa na hutaki watu waachiliwe kutoka jela na mwingine amekwenda mbali zaidi anasema ananukuu katiba kuwa hairuhusiwi kuachiliwa watu wenye kesi ya uhaini lakini wanasahau kuwa walikuwa wanapayuka huku kutaka Lissu, aachiwe wakati ana kesi ya uhaini vilevile.. HAO NDIYO WANAHARAKATI SASA...YAANI HAWATAKI KILA KITU WAO

Kuna mwingine anasema eti kwenye kamati ya maridhiano wao mjumbe wao ni Mdude! Inashangaza sana yaani kuona tuna watu kwenye jamii wana akili za hivi., Sasa Mdude anakuwa mwakilishi kutoka wapi au kutoka kundi gani la kijamii? Au mwenzetu anajua aliko Mdude mpaka anasema huyo ndiyo mjumbe wao? Hizi ni dalili za ujinga na wendawazimu kabisa.

HALAFU kuna kitu hawa wanaojiita wanaharakati wanapaswa kujifunza na kuelewa kuwa siyo lazima kila mtu awe ana mawazo kama wao. Yaani wao wasifikiri mawazo yao ndiyo mawazo ya watanzania wote au mawazo yao ni mawazo ya nchi nzima. Yaani wanavyowaza wao akitokea mtu anawaza tofauti na wao tayari inakuwa nongwa na mhusika anaoga matusi ya kutosha.. Hii ni dalili pia ya ugonjwa wa akili na huwezi kuwa mwanaharakati unayedhani kila mtu lazima awaze kama wewe ..

Ninyi mmechagua kuwa wapinzani wa kila kitu na mmeamua kuwa wachochezi kwa jinsi mnavyofanya harakati zenu wengine wamaamua kuwa upande wa pili na hawataki kuwa sehemu ya ambo yenu lakini bado hamtaki. Sasa mnataka nini yaani? Yaani inawezekanaje kila kitu mnachowaza na kufanya mnataka na wengine wafanye hivyo na wawaze hivyo ? Hiyo haiwezekani na huo ni ujinga wa hali ya juu sana

Rais Samia amesema hivi " Kushiriki uchaguzi ndiyo njia salama ya kubadilisha viongozi wanaowataka ,njia nyingine zozote ni kutafuta shari" .. Inawezekana wengi hawakuelewa hii kauli lakini ukweli ni kuwa wanaharakati wanadhani kuchochea vijana kuvamia Ikulu ndiyo njia sahihii ya kumtoa Rais Samia madaeakani. Hiyo haiwezekani ndiyo maana pamoja na vurugu mlizochochea bado uchaguzi ulifanyika na Rais na makamu wake wakaapishwa na jana amefungua bunge na serikali inaendelea kuundwa na kufanya kazi. Sasa sijajua mnawezaje kuingia Ikulu kwa mlango wa nyuma na chaguzi mlikataa wenyewe kushiriki!

Ninyi mmeamua kutoshiriki uchaguzi na mmeamua kujikita kwenye kuchochea vurugu basi endeleeni na mambo haya kwa kuwa huenda hiyo ndiyo njia sahihi kwenu lakini wanapotokea watu hawaungi mkono mambo yenu msiwaone siyo watanzania.

Kama sasa mmefanikiwa kwa kiasia kikubwa sana kuharibu miundombinu ya mwendokasi kule Kimara mpaka Magomeni na hakuna usafiri kwa wananchi. Wananchi wa maeneo hayo wanateseka sana kupata usafiri kwa kwenda mjini na wanateseka haswa. Haya ni mambo mliyoyapenda kuyaona yanatokea na sasa tulidhani mnajinsi ya kuwapa wananchi hawa usafiri na kuwasaidia maana haya ni matunda ya kazi yenu.

Mmechochea sana watu wamechoma vituo vya mafuta moto na tumeembiwa zaidi ya watu 300 wamekosa ajira na ni imani yetu sasa Maria Sarungi na genge lake mmeshawapatia ajira hawa kutokana na zile hela mmepokea kutoka Open Society kwa ajili ya shughuli ile ya Oktoba 29.

Hawa perpetrators na plotter wa machafuko haya hawataki watu waachiwe kwa kuwa watakosa kazi ya kufanya na kulipwa
Mkuu kaka Ritz heshima kwako. Nje ya mada mkuu. Hivi tofautiya kutapika unaweza kuondoa nyongo kwa KUNYA? Je hii imekaaje kwenye mafundisho ya kiislam hususan kwenye hadith, sunna na Msaaf?

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa.
 
Njaa mbaya sana, umejitoa fahamu zote wewe mbweha, yaani umesahau kuwa watu walifanya virugu kuchoma moto baada ya kuwaua ndugu zao kwa Risasi, kabla ya mauji watu hawakuwa na Hasira kali, uchungu wa wewe kwenda na kmkm na Polisiccm kuwapiga risasi kuwaua ndipo kuliamsha hasira za kufanya vurugu, chanzo ni wewe na mashetani wenzako
 
Mkuu kaka Ritz heshima kwako. Nje ya mada mkuu. Hivi tofautiya kutapika unaweza kuondoa nyongo kwa KUNYA? Je hii imekaaje kwenye mafundisho ya kiislam hususan kwenye hadith, sunna na Msaaf?

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa.
Tanganyika idai uhuru wake mkoloni kaburu warejee Zanzibar maisha Serikali kupenda kesi kesi mda wote kuliko maendeleo yafike mwisho, watu wamechoka kutekwa kuuawa kuonewa kubambikia kesi na Polisiccm, wanataka Uhuru wa kuongea kukosoa
 
Back
Top Bottom