Kwanza kabisa hao wanaharakati waliokataa watu wasitokewe ni kina nani?Wanaukumbi.
HUKU SASA NI KUCHANGANYIKIWA NA KUTOKUWA NA AKILI KWA WANAOJIITA WANAHARAKATI...
Moja ya sifa za hovyo sana za wanaojiita wanaharakati ni kuwa watu wasiotaka kila kitu na hawataki kusikia mambo tofauti na wanavyowaza wao na kufikiri wao.
Mheshimiwa Rais Samia amehutubia bunge jana na moja ya mambo ameongelea ni kuhusiana na mamlaka husika kuangalia uwezekano wa kuachilia waandamanaji na wafanya vurugu waliochoma vituo vya mafuta na vituo vya mwendo kazi na maduka na magari kwa kufuata mkumbo tu!
Baada ya kauli hii wanaojiita wanaharakati wamelipuka kwa hasira sana na sasa hawataki watu waachiliwe kwa kuwa wanajua wakiachiliwa watakosa cha kuongea na kufanya kujustify uwepo wao kwa wanaowalipa ! Ndiyo maana unaona kelele nyingi sana zinatokea kila kona na hawataki watu waaachiliwe.
Yaani una akili zako timamu kabisa unakataa na hutaki watu waachiliwe kutoka jela na mwingine amekwenda mbali zaidi anasema ananukuu katiba kuwa hairuhusiwi kuachiliwa watu wenye kesi ya uhaini lakini wanasahau kuwa walikuwa wanapayuka huku kutaka Lissu, aachiwe wakati ana kesi ya uhaini vilevile.. HAO NDIYO WANAHARAKATI SASA...YAANI HAWATAKI KILA KITU WAO
Kuna mwingine anasema eti kwenye kamati ya maridhiano wao mjumbe wao ni Mdude! Inashangaza sana yaani kuona tuna watu kwenye jamii wana akili za hivi., Sasa Mdude anakuwa mwakilishi kutoka wapi au kutoka kundi gani la kijamii? Au mwenzetu anajua aliko Mdude mpaka anasema huyo ndiyo mjumbe wao? Hizi ni dalili za ujinga na wendawazimu kabisa.
HALAFU kuna kitu hawa wanaojiita wanaharakati wanapaswa kujifunza na kuelewa kuwa siyo lazima kila mtu awe ana mawazo kama wao. Yaani wao wasifikiri mawazo yao ndiyo mawazo ya watanzania wote au mawazo yao ni mawazo ya nchi nzima. Yaani wanavyowaza wao akitokea mtu anawaza tofauti na wao tayari inakuwa nongwa na mhusika anaoga matusi ya kutosha.. Hii ni dalili pia ya ugonjwa wa akili na huwezi kuwa mwanaharakati unayedhani kila mtu lazima awaze kama wewe ..
Ninyi mmechagua kuwa wapinzani wa kila kitu na mmeamua kuwa wachochezi kwa jinsi mnavyofanya harakati zenu wengine wamaamua kuwa upande wa pili na hawataki kuwa sehemu ya ambo yenu lakini bado hamtaki. Sasa mnataka nini yaani? Yaani inawezekanaje kila kitu mnachowaza na kufanya mnataka na wengine wafanye hivyo na wawaze hivyo ? Hiyo haiwezekani na huo ni ujinga wa hali ya juu sana
Rais Samia amesema hivi " Kushiriki uchaguzi ndiyo njia salama ya kubadilisha viongozi wanaowataka ,njia nyingine zozote ni kutafuta shari" .. Inawezekana wengi hawakuelewa hii kauli lakini ukweli ni kuwa wanaharakati wanadhani kuchochea vijana kuvamia Ikulu ndiyo njia sahihii ya kumtoa Rais Samia madaeakani. Hiyo haiwezekani ndiyo maana pamoja na vurugu mlizochochea bado uchaguzi ulifanyika na Rais na makamu wake wakaapishwa na jana amefungua bunge na serikali inaendelea kuundwa na kufanya kazi. Sasa sijajua mnawezaje kuingia Ikulu kwa mlango wa nyuma na chaguzi mlikataa wenyewe kushiriki!
Ninyi mmeamua kutoshiriki uchaguzi na mmeamua kujikita kwenye kuchochea vurugu basi endeleeni na mambo haya kwa kuwa huenda hiyo ndiyo njia sahihi kwenu lakini wanapotokea watu hawaungi mkono mambo yenu msiwaone siyo watanzania.
Kama sasa mmefanikiwa kwa kiasia kikubwa sana kuharibu miundombinu ya mwendokasi kule Kimara mpaka Magomeni na hakuna usafiri kwa wananchi. Wananchi wa maeneo hayo wanateseka sana kupata usafiri kwa kwenda mjini na wanateseka haswa. Haya ni mambo mliyoyapenda kuyaona yanatokea na sasa tulidhani mnajinsi ya kuwapa wananchi hawa usafiri na kuwasaidia maana haya ni matunda ya kazi yenu.
Mmechochea sana watu wamechoma vituo vya mafuta moto na tumeembiwa zaidi ya watu 300 wamekosa ajira na ni imani yetu sasa Maria Sarungi na genge lake mmeshawapatia ajira hawa kutokana na zile hela mmepokea kutoka Open Society kwa ajili ya shughuli ile ya Oktoba 29.
Hawa perpetrators na plotter wa machafuko haya hawataki watu waachiwe kwa kuwa watakosa kazi ya kufanya na kulipwa
Umeandika upumbavu mtupu unaelimu gani?madrasa?Wanaukumbi.

(✍🏼 anaandika Joseph Mapunda wa jimbo katoliki la Mbinga)Umeandika upumbavu mtupu unaelimu gani?madrasa?
Na wazuri kutukana hao na wafuasi wao na kulazimisha mitazamo yao yaani wana akisi mapungufu ya makuzi na maadili kwa upande waoWanaukumbi.

Tupo kwenye msiba mzito sana kuwaomboleza maelfu kwa mamia ya ndugu zetu watanganyika waliouwawa na mzanzibariWanaukumbi.

Wewe Muhalifu umechoma Vituo vya mafuta zaidi ya 30 na umeharibu miundombinu ya mwendokasi ngoja tume ifanye kazi yake wote mtakamatwa.Tupo kwenye msiba mzito sana kuwaomboleza maelfu kwa mamia ya ndugu zetu watanganyika waliouwawa na mzanzibari
Mungu awalaze mahala pema, na laana ya milele iwaandame wote waliohusika
ACha kuwa mjinga, kamanda Muliro alisema hakuna mali zilizoharibiwa wala mwananchi alieuawa ni picha za kutengeneza, nyie ccm akili hamna, yaani mnapingana na statements zenu, stupidWewe Muhalifu umechoma Vituo vya mafuta zaidi ya 30 na umeharibu miundombinu ya mwendokasi ngoja tume ifanye kazi yake wote mtakamatwa.
Ficha upumbavu labda and I mean labda kuna baadhi hawatabaini kuwa wewe ni mpumbavu.Wanaukumbi.