Uchaguzi 2020 Kuchanganywa kwa majina ya wapiga kura kwenye vituo kutafanya wengi wasipige kura, hatua za haraka zichukuliwe

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Habari wana jukwaa.

Kwanza namshukuru Mungu kunipa uzima na kuniwezesha kutimiza haki na wajibu wangu kikatiba wa kupiga Kura.

Pia nitoe pongezi kwa Tume kwa jinsi zoezi hili muhimu linavyoendeshwa hadi sasa, utulivu upo wa kutosha kwenye vituo vya kupigia Kura, pa si nashaka naweza kusema kuwa hali ni shwari kabisa na zoezi litakwisha vizuri bila ghasia zozote.

Changamoto kubwa inayo jitokeza ni hii ya kuchanganywa kwa majina ya wapiga kura kwenye vituo, yaani eneo ambalo mtu huyo alijiandikisha na Kisha kuhakiki jina lake baada ya kubandikwa na Tume siku chache kabla ya uchaguzi mtu anapokuja leo nakitambulisho chake akijua atapiga Kura kituo fulani alipo hakiki jina lake anakuta jina hilo limehamishiwa kituo na eneo tofauti kabisa.

Wengi wanahangaika kutafuta vituo vyao bila mafanikio mwisho wanakata tamaa na kughairi kupiga kura.

Pia kukosekana kwa weledi wa wasimamizi wa uchuguzi kwenye kutoa maelekezo sahihi kwa watu hao imekuwa changamoto nyingine inayo fanya zoezi kuwa gumu.

Jambo hili linaweza kusababisha wengi wakose haki yao ya msingi ya kupiga kura ikiwa hatua za haraka hazita chukuliwa hivi bado mapema.

Ila kiujumla zoezi linakwenda vizuri hadi sasa, mwitikio wa wapiga kura ni mkubwa japo si sawa na uchaguzi ulio pita.
 
Hahaha njama ovu za ma ccm hizo.
Vichwa vya ma ccm vimejaa tope.
 
Wazembe walitakiwa wahakiki mapema
 
Hovyooooo. pumbvu weweeee
Hahaha mi babu yako kizaa baba yako na nilipochepuka upande wa pili akazaliwa mama yako.

Yani kama una vijiakili ujue umerithi kutoka kwtype.

Bahati nzuri wajukuu zangu sio wana ccm.

CCM vichwa vyao vimejaa tope, hakuna mwenye akili hata mmoja.
 
Hovyooooo, pumbvuuu weweeeeeeeeee
 
Habari wana jukwaa.

Kwanza namshukuru Mungu kunipa uzima na kuniwezesha kutimiza haki na wajibu wangu kikatiba wa kupiga Kura.

Pia nitoe pongezi kwa Tume kwa jinsi zoezi hili muhimu linavyoendeshwa hadi sasa, utulivu upo wa kutosha kwenye vituo vya kupigia Kura, pa si nashaka naweza kusema kuwa hali ni shwari kabisa na zoezi litakwisha vizuri bila ghasia zozote.

Changamoto kubwa inayo jitokeza ni hii ya kuchanganywa kwa majina ya wapiga kura kwenye vituo, yaani eneo ambalo mtu huyo alijiandikisha na Kisha kuhakiki jina lake baada ya kubandikwa na Tume siku chache kabla ya uchaguzi mtu anapokuja leo nakitambulisho chake akijua atapiga Kura kituo fulani alipo hakiki jina lake anakuta jina hilo limehamishiwa kituo na eneo tofauti kabisa.

Wengi wanahangaika kutafuta vituo vyao bila mafanikio mwisho wanakata tamaa na kughairi kupiga kura.

Pia kukosekana kwa weledi wa wasimamizi wa uchuguzi kwenye kutoa maelekezo sahihi kwa watu hao imekuwa changamoto nyingine inayo fanya zoezi kuwa gumu.

Jambo hili linaweza kusababisha wengi wakose haki yao ya msingi ya kupiga kura ikiwa hatua za haraka hazita chukuliwa hivi bado mapema.

Ila kiujumla zoezi linakwenda vizuri hadi sasa, mwitikio wa wapiga kura ni mkubwa japo si sawa na uchaguzi ulio pita.

Ni hivi, watu wamepuuza huo ushenzi uitwao uchaguzi ndio maana unaona watu ni wachache. Hakuna uwezekano wa watu kuendelea kufanywa mandondocha. Ile idadi ya wapiga kura 29m+ tulisema ni ya kupika, na sasa ukweli uko wazi peupe.
 
Huo ndio wizi wenyewe!! Unazuiwa kupiga kura kitu ulichoona jina lako na haujui jina lako kiko kituo gani. Unaondoka na kwa hasira unaenda nyumbani. Kumbe watu walishajua idadi ya watakaokuwa na tatizo hilo na tayari kuna kura zilishapigwa kwa niaba yako! Zinaingizwa kwenye utaratibu wa kura na zinahesabiwa. Mchezo umekwisha!!!
 
Mtandao wa Nec leo ulikuwa vizuri mno kabla ya kwenda kupiga wangehakiki kwenye simu
 
Ndiyo maigizo yenyewe hayo, hao kura zao walishapigiwa zipo kwenye maboksi tayari.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom