johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mueleweshe wewe!!!Elimu ya msingi ni bure, hivi unajua maana ya bure wewe?
Ongeza sauti kidogo[emoji16]Elimu ya msingi ni bure, hivi unajua maana ya bure wewe?
Post hii inaonyesha ni kwa namna gani hilo jambo lenu mnaliendesha kisiasa. Mtasumbuka sana kufikia malengo ikiwa mmetawaliwa na siasa kiasi hicho.Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao....
Yapi mawazo yako ni ya vitu au watu.Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao.
Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama
Nani kakuambia elimu ya msingi ni bure?Elimu ya msingi ni bure, hivi unajua maana ya bure wewe?
Kwa hiyo sii bure kwa wadanganyika,kwani wanachangishwa siku hizi,au wear mchochezi?Nani kakuambia elimu ya msingi ni bure?
Ni kwamba elimu ya msingi haina malipo.
Gharama zote za msingi zinalipiwa na serikali siyo wazazi.
Siyo bure inalipiwa na serikali ya CCM!Kwa hiyo sii bure kwa wadanganyika,kwani wanachangishwa siku hizi,au wear mchochezi?
Basi wanaolalamika wanamatatizo binafsi.Siyo bure inalipiwa na serikali ya CCM!
Huku ni nyumbani kwa the paptist Joni unataka aende wapi.Uzi tayari!Hivi wewe jamaa huwa huna break hata ukatoka out na familia na ukasahau kidogo mambo ya JF?Mmmmh,the world moves so fast,if u dont stop 4 a while and watch,u might miss it!
Uko timamu kweli?Nani kakuambia elimu ya msingi ni bure?
Ni kwamba elimu ya msingi haina malipo.
Gharama zote za msingi zinalipiwa na serikali siyo wazazi.
Hana kazi ya kufanya,anaishi kwa semeji/ kula kulala.Uzi tayari!Hivi wewe jamaa huwa huna break hata ukatoka out na familia na ukasahau kidogo mambo ya JF?Mmmmh,the world moves so fast,if u dont stop 4 a while and watch,u might miss it!
Siyo bure inalipiwa na serikali ya CCM!
Umempa jibu la uhakika!Huku ni nyumbani kwa the paptist Joni unataka aende wapi.
Uzi tayari!Hivi wewe jamaa huwa huna break hata ukatoka out na familia na ukasahau kidogo mambo ya JF?Mmmmh,the world moves so fast,if u dont stop 4 a while and watch,u might miss it!
Mbona wewe unakesha kilabuni ukinywa mbege?Uzi tayari!Hivi wewe jamaa huwa huna break hata ukatoka out na familia na ukasahau kidogo mambo ya JF?Mmmmh,the world moves so fast,if u dont stop 4 a while and watch,u might miss it!
Hahahaaaa...... hahahaaaa..... Wewe ulihama kwa Joyce Nkya baada ya shemeji kuangushwa na konyagi za bungeni?Hana kazi ya kufanya,anaishi kwa semeji/ kula kulala.