fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Mifuko kumi ya cement weeeeee😂😂😂Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao.
Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama