Mifuko kumi ya cement weeeeee๐๐๐Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao.
Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama
Wewe unadhani pale Segerea Mbowe alitoka bure kwa sababu hajalipa yeye faini?Uko timamu kweli?
Bure na haina malipo tofauti yake ni nini?
Hahahaaaa.......!Mifuko kumi ya cement weeeeee๐๐๐
Najua uwezo unao lakini, una huo muda wa kuchangia wewe?๐๐Hahahaaaa.......!
Yapi majukumu ya msingi kwa serikali inayokusanya kodi mbalimbali?Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao.
Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama