Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wengi tunafahanu umuhimu wa watoto kunyonya maziwa ya mama hasa katika miezi sita ya kwanza baada ya kuzaliwa. Maziwa ya mama ni muhimu kwa ku activate immune system ya mtoto,
Bahati mbaya kuna wazazi wanaopoteza maisha wakati wa uzazi, kuna wanaoshindwa kutoa maziwa kabisa. Ingawa SMA na ABC gold yanashauriwa lakini natural breast milk is still the best.
Kuna nchi zimeona umuhimu huu. Wamama wasio na matatizo ya afya wanashauriwa kukamua maziwa ya ziada na kuyapeleka kwenye vituo vya afya.
Utakubali mtoto wako anyonye maziwa ya stranger person?