Kuchangiana maziwa ya mama

Kuchangiana maziwa ya mama

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wengi tunafahanu umuhimu wa watoto kunyonya maziwa ya mama hasa katika miezi sita ya kwanza baada ya kuzaliwa. Maziwa ya mama ni muhimu kwa ku activate immune system ya mtoto,

Bahati mbaya kuna wazazi wanaopoteza maisha wakati wa uzazi, kuna wanaoshindwa kutoa maziwa kabisa. Ingawa SMA na ABC gold yanashauriwa lakini natural breast milk is still the best.

Kuna nchi zimeona umuhimu huu. Wamama wasio na matatizo ya afya wanashauriwa kukamua maziwa ya ziada na kuyapeleka kwenye vituo vya afya.

Utakubali mtoto wako anyonye maziwa ya stranger person?
 
Kama hayana tatizo unakubali tu,same as kuwekewa damu ya mtu mwingine.
 
Zamani nakumbuka kule kijijini kama mama amefariki na mtoto mchanga basi anatafutwa mama anayenyonyesha wanamuomba anyonyeshe wawili
So ni kitu kipo bongo sijajuwa kwa mutu ya mujini
 
Huku kijijini kwetu ikitokea bahati mbaya mama kajifungua na kupoteza maisha mtoto kabaki anaombwa mwanamke anayenyonyesha kusaidia kumnyonyesha mtoto aliyefiwa na mama, kwa mjini sijui kama mnayaweza haya
 
Zamani naskia,kama mama ana maziwa kidogo anaeza pewa na Yule mwenye maziwa mengi(anamkamulia)Siku hizi maradhi mengi.

Mi ningeweza mpa mtu ya kwangu,ila mwanangu kupewa ya mtu mwingine mh!bado nawaza.
 
Wengi tunafahanu umuhimu wa watoto kunyonya maziwa ya mama hasa katika miezi sita ya kwanza baada ya kuzaliwa. Maziwa ya mama ni muhimu kwa ku activate immune system ya mtoto,

Bahati mbaya kuna wazazi wanaopoteza maisha wakati wa uzazi, kuna wanaoshindwa kutoa maziwa kabisa. Ingawa SMA na ABC gold yanashauriwa lakini natural breast milk is still the best.

Kuna nchi zimeona umuhimu huu. Wamama wasio na matatizo ya afya wanashauriwa kukamua maziwa ya ziada na kuyapeleka kwenye vituo vya afya.

Utakubali mtoto wako anyonye maziwa ya stranger person?
hapana siwezi kukubali labda mpaka nipate taarifa zake muhimu na kujidhihirisha za huyo alietoa maziwa.
 
Back
Top Bottom