#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

HUKO MAREKANI
Six members of un vaccinate family die of covid 19

In just three weeks, six unvaccinated members of a Florida family died after contracting COVID-19.

After attending the funeral for 48-year-old family member Tyrone Moreland, 89-year-old grandmother Lillie Mae Dukes Moreland was hospitalized with the virus and died just 24 hours later, according to The Palm Beach Post.

Three more cousins died shortly after their grandmother, and the family's most recent loss was 44-year-old Trentarian Moreland, who died on Sunday.
 
Hii sasa ni hatari kuliko danger.
 
Kitaeleweka tu!
 
Sasa wasomi, na madaktari wameamua kueleza ukweli.
Watu wachanje, hasa walioko serikalini na wanatoa huduma kwa wananchi wengi.
Ambaye hataki hawezi kuwa na uhuru wa kuambukiza wengne.
Chanja or take thae walk!!
 
Kama umechanjwa,unaogopa nini mpaka unalazimisha na mwingine achanjwe?!Mbona mmechanja na bado hamjiamini?
Tukiwa na vidonda tukakosa hela ya kuwalipeni mnatufumua hadi mishono kwa hasira,hii huruma ya kipekee ya kutuletea chanjo za bure na kutulazimisha kuchanja imetokea wapi?!
 
Sasa wasomi, na madaktari wameamua kueleza ukweli.
Watu wachanje, hasa walioko serikalini na wanatoa huduma kwa wananchi wengi.
Ambaye hataki hawezi kuwa na uhuru wa kuambukiza wengne.
Chanja or take thae walk!!
Nyie mna madaktari nchi hii?.....ukweli walishindwa kuueleza kipindi cha jabali JPM itakuwa Leo.....
Hao ni mabogus fulani tu....hela za wazungu zitawaua....tafuteni zenu
 
Marekani na kuchanja kote ina wagonjwa wangapi? ? ? Tena ukae kimya na upumbavu wako umbwa wewe
 
NANI ALIKUAMBIA UKICHANJA HUVAI BARAKOA? HATA UKICHANJA LAZIMA UENDELEE KUVAA BARAKOA MAANA UTAMBUKIZWA NA WEWE UNAWEZA KUAMBUKIZA.
 
Habari za kizushi. Kuna uzi waliopata madhara ya chanjo inatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…