#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

Umesema kweli,tuwalinde wazee na wenye magonjwa mengine majumbani kwetu,kwa kujilinda sisi Kwanza, hivyo wanajamii chonde chonde tuchanje tuwalinde..
 
Mimi ni Mtumishi wa Serikali na nipo Jiji la Mwanza. SITACHANJA NA NIPO TAYARI KUACHA KAZI!
 
We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.

[emoji32]UNAFIKI!
Korona mbona ipo wazi
 
Labda alikuwa anasikilizia kwanza kuona kama watu watakuwa mazombie
Hans kachanjwa na kaganja na kovidi...ila.[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958] zima mic isisikike popote na wananchi hii ni kampeni ya kitaifa
 
K
 
K
Kalazimishe ukoo wenu ukachanje.
 
Zakaria Hans Poppe hakuchanjwa na siku zake za mwisho alihimiza watu wachanjwe
 
Nguvu ya watu ni kubwa kuliko wahuni wachache wenye nguvu acha utoto chanja wew wengine hatuchaji hatuchaji!!!!!
 
Nguvu ya watu ni kubwa kuliko wahuni wachache wenye nguvu acha utoto chanja wew
Uko njiani kuelekea kuzimu.
Nakutakia covid njema.
Wew uko njiani kuwa zombi
 
Wafanyakazi wa serikali ni asilimia ngapi ya watanzania wote?
 
Wafanyakazi wa serikali ni asilimia ngapi ya watanzania wote?
Hawazidi hata milioni katika watu milioni 60.
Lakini ndio wanaweza kuwa a vehicle of transmission ya covid19.
Daktari anaona wagonjw wangapi kwa siku, nesi je?
Hakimu kizimbai anakuwa na wananchi wangapi kila siku.
Askari mmoja anhudumia mahabusi wangapi kwa wiki!
Natumaini unaelewa ninako elekea.
 
Zakaria Hans Poppe hakuchanjwa na siku zake za mwisho alihimiza watu wachanjwe
Siku gani za mwisho ? Kama alihimiza watu wachanjwe ilikuwaje yeye awahimize wengine kuchanjwa wakati yeye ajachanjwa tumia akili,kama serikali iliamua kwenda kinyume na magufuli kwanini hawa tangazi wagonjwa wa covidi siku kwa siku tena watuambie na walio ugua wakiwa wamechanjwa na walio kufa licha ya kuchanjwa ,unadhani kwanini serikali haiwezi kusema wanao kufa licha ya kuchanja
 
Kuchanja ni hiari,hatutaki kulazimishwa.Kama kufa tutakufa sie.

HATUTAKI KULAZIMISHWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…