Katika usenge sitakuja kuuvumilia na kuukubali ni huo.Na nikikufuma au nikikuhisi shangazi kaja utaikuta barabarani na sitasikiliza ushauri wa mjinga yoyote,awe mzazi,kiongozi wa dini au fala yoyote yule.
Hayo mambo ni magumu. Rafiki yangu wa mbali kidogo alichukua bunduki akamuua mke wake kutokana na mke wake kumsaliti na yeye akajimaliza. Ninapigiwa simu usiku wa manane na mdogo wake mke huku akilia maaa aliona live uuaji wa kutisha. Aisee aliacha watoto watatu wadogo. Kwenye mazishi ilikuwa huzuni kubwa sana. Walikuwa na uwezo tu lakini ndiyo hivyo tena hakuna wa kuangalia. Wewe yasikie tu lakini ni ngumu ukiyaona au yakitokea kwa mtu unayemfahamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.