Kuchelewa kuoa haimaanishi utaoa mtu sahihi. Vijana fungeni ndoa mapema hata mkishindwana mnaanza upya

Kuchelewa kuoa haimaanishi utaoa mtu sahihi. Vijana fungeni ndoa mapema hata mkishindwana mnaanza upya

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau.

Vijana wengi wanachelewa sana kufunga ndoa kwa kisingizio cha kusubiri mwenza bora. Ukweli ni kwamba marrying late doesn't guarantee you will marry right.

Vijana fungeni ndoa mapema na wenza wenu. Waiting long doesn't guarantee a good marriage
 
Kijana akiwai kuo kwenye umri kuanzia 20 mpaka 25. Akiachana na huyo mwanamke hua ngumu Sana kuoa Tena atabaki kuwa single tu na kugegeda papuchi mbalimbali. Unajua kwa nini Alichokutana nacho huko hataki hatakusikia maswala ya ndoa. Ila Alie oa kuanzia 35 na kuendelea wataishi muda mrefu kidogo baadhi mpaka wata tenganishwa na vifo.
 
Back
Top Bottom