Zamani ulikua unakuta baba mmoja ana watoto wanne.
Skuizi unakuta baba wanne wana mtoto mmoja....🤣labda ndio mabadiliko ya tabia ya nchi...teh😜
tatizo ninyie wanawakeZamani ulikua unakuta baba mmoja ana watoto wanne.
Skuizi unakuta baba wanne wana mtoto mmoja....🤣labda ndio mabadiliko ya tabia ya nchi...teh😜
Unaweza ukawa mwanaume kamili na ukakosea kuoa ukaoa mke asiye sahihi akaleta laana kwenye maisha yakoNdoa ni kwaajili ya wanaume kamili.
Hao sio wa afu mbili, hii ni generation nyingine sio ya hiyo mishangaziWanawake wenyewe wa kuoa ndio hawa kina Christina shusho na Joyce kiria??? wakishapata mali kupitia ndoa wanaanza kukudharau na kukudhalilisha kwenye media
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zamani ulikua unakuta baba mmoja ana watoto wanne.
Skuizi unakuta baba wanne wana mtoto mmoja....[emoji1787]labda ndio mabadiliko ya tabia ya nchi...teh[emoji12]
😅DuhUzuri wa kuchelewa kuoa sana unakutana na nguli mwenzio. Mfano ukioa na 50 hivi upate mwanamke wa miaka 40 hivi halafu mna watoto hapo mmekutana.