Kuchelewa Kuoa hakukufanyi ufanikiwe au uwe na unafuu wa Maisha

Matola Tofautisha MKE na MALAYA wewe lini ulisikia mke akapangishiwa Nyumba?
 
KWA HIYO UNATAKA KUNIAMBIA WATU WOTE AMBAO MIILI YAO IKO VIZURI HAPA DUNIANI WAMEOA?

UNALAZIMISHA WATU KUOA KWA KIGEZO KIPI?

KUTOKUOA SIO DHAMBI NASISITIZA NA SIO USHETANI
Kwahiyo watu wafanye ngono na wanawake kwa wanaume tofauti tofauti ila kuoa hapana?
 
Kwahiyo watu wafanye ngono na wanawake kwa wanaume tofauti tofauti ila kuoa hapana?
sijachochea watu wafanye ngono na sijasema kuoa hapana ila sio lazima.... note neno sio lazima na sio dhambi
 
Eti oa hata kama unashindwa kulipa kodi ,,,usijaribu ndugu yangu hakika utaona jua usiku,,,haya maisha si lelemama" dunia imebadirika sana,,Ukiona mpaka watoto wanaua Wazazi wao kisa mali si mchezo
 
Nina my first born

Omba Uhai utajionea.

Mwanaume ukichelewa kuoa uwe na Pesa,
Lakini huna alafu umechelewa hakika yake Moto utakuwakia.

Ndio maana inashauriwa angalau miaka 25-34 hapo.
Kuzidi hapo Wachumba watakukimbia, wanakuona Kama Budah!
 
🤣🤣🤣🤣🤸
 
Nina 27 sina waziii kuoa ...maana aisee mahusiano changamoto....Bora niwe bize na mambo yangu Ili nitimize malengo yangu .....sihitaji stresss

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…