Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nyinyi wazee wa kiswahili mnaishi maisha ya tabu huku mkitegemea misaada kutoka kwa watoto wenu. Mtoto asipokupa msaada bila kujali hali yake unatishia kumpa laana. Wengi wenu mlioa mapema na kuzaa watoto wengi kama utitiri mlishindwa kuwaandaa na kuwatengenezea mazingira ili baadae wawe na maisha mazuri leo mmebaki kuwatolea lawama kati yangu mimi na nyinyi nani mpumbavu?