Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kataa ndoaAiseeeee! [emoji119]
Ndoa ni utapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kataa ndoaAiseeeee! [emoji119]
Hakuna kitu me anajisikia hovyo kama kujua mkewe alikuwa kitombwi. Its terrible news for any man.Aah mi naona ikitokea chance anahamu afanywe tu, ana mu-impress nani na kujibana bana, afanye as much she can maisha ni mafupi
Mbona makasiriko, nini kimekusibu? Baba yako kakulaani??Nyinyi wazee wa kiswahili mnaishi maisha ya tabu huku mkitegemea misaada kutoka kwa watoto wenu. Mtoto asipokupa msaada bila kujali hali yake unatishia kumpa laana. Wengi wenu mlioa mapema na kuzaa watoto wengi kama utitiri mlishindwa kuwaandaa na kuwatengenezea mazingira ili baadae wawe na maisha mazuri leo mmebaki kuwatolea lawama kati yangu mimi na nyinyi nani mpumbavu?
😅😅😅 anataka mumeNajua wewe utaniunganishia kwa momo tu 🤣
🤣🤣🤣🤣🤭Siwezi kabisa yaani nimtunze af wadau waje kummega kisela hapana aisee