Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

Aah mi naona ikitokea chance anahamu afanywe tu, ana mu-impress nani na kujibana bana, afanye as much she can maisha ni mafupi
Hakuna kitu me anajisikia hovyo kama kujua mkewe alikuwa kitombwi. Its terrible news for any man.
 
Nyinyi wazee wa kiswahili mnaishi maisha ya tabu huku mkitegemea misaada kutoka kwa watoto wenu. Mtoto asipokupa msaada bila kujali hali yake unatishia kumpa laana. Wengi wenu mlioa mapema na kuzaa watoto wengi kama utitiri mlishindwa kuwaandaa na kuwatengenezea mazingira ili baadae wawe na maisha mazuri leo mmebaki kuwatolea lawama kati yangu mimi na nyinyi nani mpumbavu?
Mbona makasiriko, nini kimekusibu? Baba yako kakulaani??
 
Back
Top Bottom