Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
nikutafutie mke bro
Mambo dadaHujakosea ila usichelewe sana
Kama unavyowatendea wengine....hivyo oa tu mkuu
Poa vp?Mambo dada
Unaniita dada unataka uninyime nn?Mambo dada
yaani muoaji namba 11... gazeti la jioni
Bomba kabisa mshikaji wanguPoa vp?
Nawachana leoRelax kidogo punguza jazba
Wewe bado kinda sana....sema ....π€Kati ya boko nililotia katika maisha yangu ni kuchelewa kuoa na kuzaa.. ila yote maisha.. maama wanasema maisha ni kuchagua
π π π π π haya mamaUnaniita dada unataka uninyime tamu?
Nipo nimejilaza tu hapa... network hazisomi freshBomba kabisa mshikaji wangu
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ picha bora kabisa ya mwaka
kinda la njiwa au eagle π π πWewe bado kinda sana....sema ....π€