Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

Lawama zinakuwa ni nyingi kuliko ushauri. Brother salim mfungahema amejenga nyumba kali pale goba center hana mke wala mtoto wa kusingiziwa kwa sasa ana miaka 42 ni daktari wa binadamu hospital flani hapa daressalam. Wewe kazee ka kiswahili una watoto 10 na wote hawana ramani ya maisha kati yako wewe na brother mfungahema nani mpumbavu 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…