Kuchelewa kurudi kwa Tundu Lisu kunaweza kumponza, wenye Tamaa za fedha washaanza vikao vya Siri kumweka Membe

Kuchelewa kurudi kwa Tundu Lisu kunaweza kumponza, wenye Tamaa za fedha washaanza vikao vya Siri kumweka Membe

Tunaona mnavyomwogopa Lissu.
Lisu haogopeki kihivyo watu wanampenda hila kuchelewa kwake kumemfanya aanze kusahaulika, angekuja mapema apate misukosuko ili tumpe kura za visasi lakini watamwangai
 
Lisu haogopeki kihivyo watu wanampenda hila kuchelewa kwake kumemfanya aanze kusahaulika, angekuja mapema apate misukosuko ili tumpe kura za visasi lakini watamwangai
Sijui kwanini mnashabikia unyama huu kwa Lissu au wewe ni Msukuma nini? Manake hawa wamezoea kutenda kama vile wanatendea ng’ombe.
 
Wana Jf,

Kwa uhalisia wa sasa upepo unapoelekea mtia nia ya urais Membe ashaanza vikao vya siri tangu Jana alipoamua kujivua uanachama. Kuna fununu kuwa anakutana na viongozi wakuu kukubaliana nini kifanyike ili aweze kujiunga na chama ili atimize dhamila yake. Kiukweli membe ni mkamilifu lakini tundu Lisu ni mzuri zaidi ila ataponzwa na kutokuwepo kwake kwani waamuzi hawatamwonea aibu kama ambavyo angelikuwepo.

Kiongozi mkuu anaweza kumwingiza ili aongeze majimbo kwani ingizo jipya huwa halina hasara. Membe ana pesa kutoka sehemu nyingine kuliko Lisu, campaign nifedha, kuzunguka Tanzania mzima sio mchezo.

Membe yuko nyuma ya matajiri walioumizwa na utawala huu, pia anaweza kupata kula za Ccm chotara na ccm maslahi.
Lissu mgombea wa CDM(In fact ndiye rais mtarajiwa iwe mvua, ije jua) Membe labda kama atakubali kuwa mgombea mwenza
 
Back
Top Bottom