Kuchelewa kurudi kwa Tundu Lisu kunaweza kumponza, wenye Tamaa za fedha washaanza vikao vya Siri kumweka Membe

Tunaona mnavyomwogopa Lissu.
Lisu haogopeki kihivyo watu wanampenda hila kuchelewa kwake kumemfanya aanze kusahaulika, angekuja mapema apate misukosuko ili tumpe kura za visasi lakini watamwangai
 
Lisu haogopeki kihivyo watu wanampenda hila kuchelewa kwake kumemfanya aanze kusahaulika, angekuja mapema apate misukosuko ili tumpe kura za visasi lakini watamwangai
Sijui kwanini mnashabikia unyama huu kwa Lissu au wewe ni Msukuma nini? Manake hawa wamezoea kutenda kama vile wanatendea ng’ombe.
 
Lissu mgombea wa CDM(In fact ndiye rais mtarajiwa iwe mvua, ije jua) Membe labda kama atakubali kuwa mgombea mwenza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…