Kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na kuchepuka mama yake?

Kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na kuchepuka mama yake?

Mr No fair

Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
84
Reaction score
122
Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu. Nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na Mwanamke kuchepuka?

1638255109077.jpeg
 
Uwongo tu waulizeni wazazi wenu kuna mmoja pia alichelewa kutembea.
 
Hakuna uhusiano.

Next time zingatia taratibu za kiuandishi haijulikani unauliza swali au unatoa oni.
 
Uongo wa kizamani nimeona mtoto aliye zaliwa kwenye familia ya mwanaume ambae sio baba yake na akakuwa bila tatizo lolote mwenye afya na akili
 
Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na Mwanamke kuchepuka
Hakuna kitu kama hiko ,mademu wanachepuka na watoto wao wanatembea na miezi 7 tu.
 
Stimulation inasaidia, mtoto unampa chakula unamuacha kwenye baby cot mradi umeifunga unajua hataanguka ni tofauti na yule anaeachwa atambae akijitahidi anasimamia ukuta huku anapigiwa makofi.
 
Back
Top Bottom