Kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na kuchepuka mama yake?

Kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na kuchepuka mama yake?

Kubemenda si kumzalia mwenzake bado akiwa mdogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwetu hata wazazi wakiwa na mtoto mdogo na wanachepuka kitoto kikidhoofika wanasema kimebemendwa!!
 
Kitaalamu unatakiwa uwe na wasiwasi iwapo mtoto hajatembea na hana dalili za kutembea afikapo miezi 18 au tuseme mwaka mmoja na nusu.

Chini ya hapo ni kawaida, labda awe na shida nyingine kiafya.
 
kubemenda mtoto ni ukosefu wa lishe bora kwa mtoto, usafi pia wa mwili kwa mama wa mtoto kuna muharibu mtoto.na si vinginevyo
 
Waume wenye wake wengi watoto wao wasingetembea asilani. Hamna kitu hapo ni uongo tu. Mm nna mtoto wangu napiga gem nje mara mbili kwa wiki ama mara moja ila mwanangu yupo fit
 
Waume wenye wake wengi watoto wao wasingetembea asilani. Hamna kitu hapo ni uongo tu. Mm nna mtoto wangu napiga gem nje mara mbili kwa wiki ama mara moja ila mwanangu yupo fit
Eti mkuu Kuna madhara yeyot Kama unamchakata wife na anamtoto wa miezi8 Kuna uhusiano wowote kwa mtoto kuchelewa kutembea maana wife juzi amenambia tuache kugegedana eti mtoto kachelewa kutembea
 
Back
Top Bottom