Mr No fair
Member
- Oct 25, 2020
- 84
- 122
Hakuna kitu kama hiko ,mademu wanachepuka na watoto wao wanatembea na miezi 7 tu.Wana jamvi nadhani mtanichoka ila muendelezo wa maswali nayouliza yanamaana kwangu nadhani jinsi nitavyojibiwa na wataalamu mbalimbali humu hivi kuchelewa kutembea kwa mtoto kunatokana na Mwanamke kuchepuka
Kubemenda si kumzalia mwenzake bado akiwa mdogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaitwa kubemenda is not real ni uongo tu
MythsMythes
Hebu fafanua kidoogoMi yupo vizuri tu.teh!
Ha ha haaa,hatareeHebu fafanua kidoogo
Nakuelewa chenjichenjiTulia brother,mtoto atatembea tu.
Acha kumuhisi vibaya shemeji.