Kuchelewa kwa matokeo kidato cha nne ni kwasababu ya matokeo Mabovu

Kuchelewa kwa matokeo kidato cha nne ni kwasababu ya matokeo Mabovu

Status
Not open for further replies.
Joined
Jan 15, 2015
Posts
67
Reaction score
8
Habarini wanajamvi humu ndani,

Jaman katika pitapita huko nmekutana na walimu waliotoka ku mark paper za madogo zetu xo katika mjadala wao wamedai ya kwamba chanzo cha kucheleweshwa kwa matokeo ya madogo ni kutokana na madogo kufeli vibaya lile paper la NECTA.

Serikali inaogopa kuyatangaza ili isiaibike na BRN yao.
 
Kwa hiyo mkuu wamekuambia yatatoka lini?
 
Matokeo bado sana kwan mitihani yao illisha mwez wa 11 trh28 sasa cdhani kama mwez wa kumi na mbili ilitosha ku-mark na kupanga matokeo mimi Nahc mpaka mwsho wa huu mwezi ndo mambo yatakuw tayari.
 
Unatumia kigezo kipi kusema matokeo yamechelewa ikiwa leo n tarehe 7 ebu acha polojo kwa kawaida baada ya kikao cha bunge cha january kuahilishwa week inayofuata ndio matokeo hutoka

Tuliza mshono kijana matokeo kuanzia jumatatu yakiwahi yatatoka juma tatu yakichelewa yatayoka ijumaa ya week hii.
 
Matokeo bado sana kwan mitihani yao illisha mwez wa 11 trh28 sasa cdhan kama mwez wa kumi na mbili ilitosha ku mark na kupanga matokeo m nahc mpaka mwsho wa huu mwez ndo mambo yatakuw tyari.

Si kweli Usajiri wa mwaka huu umeanza january mpaka february 28 kwa private candidate so hawawezi kutoa matokeo mwisho wa mwezi maana kuna wengine wanasubiri matokeo ili wajisajiri so next week lazima yatoke
 
Jamani tuwe tunatoa taarifa sahihi sivyema kupotosha jamii kwa maneno mazito kama hayo
 
1423372072137.jpg
 
Si kweli Usajiri wa mwaka huu umeanza january mpaka february 28 kwa private candidate so hawawezi kutoa matokeo mwisho wa mwezi maana kuna wengine wanasubiri matokeo ili wajisajiri so next week lazima yatoke

Logic in action.
 
fomu 4 ya Siku hizi hata ukipata dv1 bado unakuwa incompetent& incomplete
 
Of course hata mimi nimesikia kwenye kipindi cha tuzungumze magazeti RFA Leo asubuhi kuwa wanafunzi wamefeli sana lakini sidhani kama yako hewani tayari. ingia web yao ujionee.
 
mleta mada ni f4 anaesubiri majibu anaandika kifacebook humu ebo, xo ndio nini!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom