Unazijua hali za maisha ziko tofautikipindi umemaliza form six haukujihusisha na ujasiriamali ? Nijibu hapa kwanza
Lakin kwa muanzisha uzi ni kama ile nyingne tofaut na waleUnazijua hali za maisha ziko tofauti
Kopa hela ufanye usajiri,, ukipata boom unalipa... Mbona ni easy tu maana hso huwezi kubisgana nao wako juu yako
Huyu anasmartphone.Unazijua hali za maisha ziko tofauti
Pole mkuu Mungu yupo na atakulipa.Nje ya Mada
Nakumbuka kuna Mwanafunzi mmoja nimemkopesha sana fedha akiwa kwenye mazingira magumu sana lakini ameamua anidhulumu pesa yangu. Alikuja na Nyuzi za kuomba akipeshwe pesa kwa riba kubwa sana, nilimuonea huruma nikamkopesha bila riba lakini kaamua akimbie na Jasho la mnyonge
Chuo gani? Bank account gani unatumia?Mbona mm nimefanya usajili nikasainishwa since last week but mpaka leo sioni chochote kwenye account yangu
Mbona mm nimefanya usajili nikasainishwa since last week but mpaka leo sioni chochote kwenye account yangu
kama ulisaini kwa karatasi subiri sometime huchukua mpaka 2 weeks so kua mvumilivu soon utajaa.
Kusajiliwa ni lazima mkuu. Uwe mvumilivu au azima pesa kwa mwenzako ili usajiliwe otherwise hautaweza kusaini pesa yako ya kujikimu ( boom )Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala.
Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa hapo chuo.
Na kama sio sahihi ni hatua gani za kufuata?
Chuo UDSM bank CRDB mpaka leo empty afu hela ya mfukoni kama inaisha flan[emoji41][emoji41][emoji41]Chuo gani? Bank account gani unatumia?
kuwa mpole yote unayopitia sasa na wenzio walipitia tena wewe una-advantage nasikia siku hizi wameanzisha mfumo wakupata pesa mara moja baada ya kusign labda kwakuwa wewe mwaka wa kwanza ndio maana unasumbukaChuo UDSM bank CRDB mpaka leo empty afu hela ya mfukoni kama inaisha flan[emoji41][emoji41][emoji41]
Mitano TenaWakuu naomba Muongozo juu ya hili suala.
Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa hapo chuo.
Na kama sio sahihi ni hatua gani za kufuata?