Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Mhhh shida huwa ni Nini? Mkishapewa Sasa hivi, ni wakati gani mwingine mnapewa? (Mwezi gani yaani)Chuo UDSM bank CRDB mpaka leo empty afu hela ya mfukoni kama inaisha flan[emoji41][emoji41][emoji41]