Kuwa mvumilivu dogo..hela zenu zipo tu na muda wowote zinaingia kwenye account.
Wahasibu hawawezi wakaenda kuweka mtu mmoja tu akisaini..mbona wakati watakuwa wanaweka kila siku
Wanasubiri msaini wengi ili wawawekee wote.
Mkishaunganishwa na mfumo fingerprint hamtapata Shida.