MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Zito atumie letterhead ya Bunge kwani yeye ni mwakilishi wa Bunge zima. Hii naona imetengenezwa ili kuwahadaa punguani.View attachment 1340039View attachment 1340040View attachment 1340041
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi naona, hakuna ubaya wowote.Hela zenyewe zinatoka kwa MABEBERU ambao hatuwataki.Wao waendelee tu kutunyima kabisa tutaenda kukopa hata RWANDA watatupa.kweli ubaya hauna kwao mwache atuone Watanzania wajinga.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Manyoya afadhali, bullets,guns, boots, tear gas , kila kukicha zinatutia ulemavu wa kudumu ,kisa kudai haki ya mtanzania.Barua inayowakilisha malalamiko ya wanyonge kwenda WB ambako mafisadi wanataka kukopa hela kwa jina la wanyonge kisha watuachie manyoya.
'Ngastuka machale kundesaa'.
Ila kinaeleweka na ujumbe umefika ni sawa hiyo ninlugha ya kujifunza sio laugha mama hivyo cha muhimu ni ujumbe kufika that's itHahaha hicho kiingereza hata Mpwa wangu wa Pre-school Haongei hivyo...
Poor English from the insane Coward
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigoma jamani Kigoma hatoki boi ,chezea wewe usipojikuta unaning'inia ziwa victoria .Hata mkuu wa wilaya wa jimbo la Zitto hadhubutu kumfanya chochote zito atajikuta ziwani kule wewewewewewe huyu sio LissuZito Zuberi Kabwe, Zito Zuberi Kabwe, Zito Zuberi Kabwe. Nimekuita mara tatu. Your days are numbered
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki nimesema tu,kawaulize pale wilayaniLeo umekuja kivyako kabisa.
Eeehee hebu tudokeze. Ilikuwaje?
These checks and balances include freedom of express, freedom of assembly and free and fair elections.Hahaha hicho kiingereza hata Mpwa wangu wa Pre-school Haongei hivyo...
Poor English from the insane Coward
Sent using Jamii Forums mobile app
Abarikiwe sanaMungu mbariki Zito Kabwe
View attachment 1340039View attachment 1340040View attachment 1340041
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo liko wapi kama aliowatumia hiyo barua wamemuelewa ....!!?Ma CCM ni wendawazimu kabisa. Kingereza cha zito kimenyoka sana sio huu upuuzi mlouleta hapa. At least mgemtumia mtu anayejua kuandika. Lakini hapana akili zenu ndo zimeishia hapo