Zitto kweli mwanaume wa shoka. Kibao kinapigwa kila upande juzi Lissu amekuwa kwenye Kikao cha Mabunge akamwaga sumu na leo Zitto kamwaga sumu nyingine. Lazima serikali hii ijue watu siyo wajinga na kuzuia kuminya haki zao naye ataminywa na walimwengu ambao ndio tegemezi kuu. Tuone kama hiyo miradi yake mikubwa itawezekana maana sisi wananchi tumeshakamuliwa maziwa na damu tumebaki mifupa sasa ni kutegemea walimwengu ili kusonga mbeleView attachment 1340039View attachment 1340040View attachment 1340041
Sent from my iPhone using JamiiForums
Safi sana ZittoView attachment 1340039View attachment 1340040View attachment 1340041
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndo tukisema magu alijua ukiwa dikteta basi kwako hufanyi uchaguzi ,atakua alijua atafanya kama s/mitaa.aibu kweliwachote Hazina kama Kikwete alivyochota kwenye account za EPA
Barua ya wazi imevuja vipi! wamesema kuna barua kwa maelfu lakini watu wanaaminishwa kama vile ni mtu mmoja tu ndiye kaandika barua. Kuna NGO's na mashirika ya watoto mengi sanaView attachment 1340039View attachment 1340040View attachment 1340041
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kuwatokomeza hawa siasa kaliBahati mbaya ni kuwa ccm hawaelewi.
Swali zuri.Wewe unatafuta ajira wapi ?
Nimekuwa nikiangalia tabia ya Zitto tangu alipounda chama chake, akitoka CHADEMA. Hakuwa na la kufanya zaidi ya kujilazimisha kuunga mkono hoja za CHADEMA zikiitwa ni za UKAWA. Tangu Mwanzo yeye hakuwa na wenzake na ndo maana aliwaacha wenzake na kuingia bungeni wakati rais akihutubia Bunge.
Baadaye kapata njia, kupitia kwa Maalim lakini, ana tatizo jipya la uwezekano wa kukosa ubunge. Uwezekano huo ni mkubwa kwamba, hatarudi bungeni kazi aliyoizoea kwa miaka mingi bila umahili wowote kwa kazi nyingine.
Nimuonavyo, sasa anahangaika kupata umaarufu. Naamini anahanigika kupata ajira nje, Kwenye mashirika hayo akiaminia kwa sasa watauona uelewa wake. Nampa hongera kama kweli atapata ajira aina hiyo lakini aelewe hana uzoefu wowote nje ya shughuli za Bunge.