Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Elia F Michael,
Hicho ndo kiingereza cha ZItto? Kumbe ana mengi ya kujifunza badala ya umbea anaohangikia. Poor english language command! Sijui akizungumza hali ikoje! Kila siku ni kuzomea magufuli kumbe na wao ni hoi!

Angalia sababu anazozieleza sasa! Mara gender, mara Kabendela, mara mikutano ya siasa. Hakuna hata sehemu moja anapotetea watu kukosa maji na umeme! Anaomba mkopo usitishwe kwa sababu tu ya mambo ya kisiasa, siyo maendeleo duni ya wananchi. Rubbish!
 
Hapo alichokisema ni sahihi hajatafuna maneno, maana hata tukipewa hizo fedha nyingi zinaishia mifukoni mwao wanao lengwa hawapati sasa ya nini kujiongezea madeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaolengwa ni akina nani? akina Kabendela? Mikutano ya siasa? Hebu soma tena uone sababu zake. Hakuna hata moja anayozungumzia watu kukosa maji umeme au barabara. Anataka kwanza mikutano ya siasa
 
Mr Tyang,

Watoto wa nchi ya matajiri hawahitaji msaada. Kama wenye siasa za kipuuzi ndio wameenda kutaka mkopo, hamna kupewa mpaka wajirekebishe na siasa zao za kipuuzi. Hao watoto wako,wenu na wangu wacha wateseke kulipia gharama ya siasa za kishenzi. Vinginevyo tendeni haki mpate mkopo. Kinyume na hapo hakuna kupewa hata mia mbovu.
 
Nawe unakuwa bwege wa wanasiasa. Zitto siyo mnafiki? Kuna mwanasiasa ambaye siyo mnafiki? Alipokuwa anapiga rushwa kwa mambo ya Buzwagi alikuwa anakutetea wewe? Shiiiit!

Zito ni mnafiki na hilo halina mjadala, lakini kwa hili alilolifanya yuko sahihi. Alipiga rushwa kwa mambo ya Buzwagi maana hata angeeacha bado zingeliwa. Ulitaka aache hiyo rushwa ili iweje?
 
zitto junior, Hivi ni lini mwanafunzi mjamzito aliruhusiwa kusoma? Mbona mnakuwa watu wa hovyo?

Kasomeni sera ya elimu na kanuni na utaratibu wa wanafunzi wanaopata ujauzito,

Kama nyuma kuna mwanafunzi alienda shule akiwa ashazaa naomba ushuhuda humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaolengwa ni akina nani? akina Kabendela? Mikutano ya siasa? Hebu soma tena uone sababu zake. Hakuna hata moja anayozungumzia watu kukosa maji umeme au barabara. Anataka kwanza mikutano ya siasa

Ndio anataka mikutano ya siasa ili apate nafasi alete maji, umeme, ajira nk. Hao wanaozuia mikutano ya siasa hata wao wako madarakani kupitia hiyo hiyo siasa na wala hawakuoondua nchi. Kuleta umeme na maji ni wajibu, na wala sio tiketi ya kuzuia shughuli halali za kisiasa. Kama mtu anajiona hawezi kuleta maji au umeme bila kuzuia shughuli halali za kisiasa akae pembeni, ili aachie wanaoweza kutekeleza vyote kwa pamoja.
 
Hivi ni lini mwanafunzi mjamzito aliruhusiwa kusoma? Mbona mnakuwa watu wa hovyo?

Kasomeni sera ya elimu na kanuni na utaratibu wa wanafunzi wanaopata ujauzito,

Kama nyuma kuna mwanafunzi alienda shule akiwa ashazaa naomba ushuhuda humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnaotetea ujinga wa Zitto,je mnaujua utaratibu wa bunge? Kwanini alitumia nembo ya bunge kama alikuwa anawasilisha hoja zake binafsi kama mtanzania?; Nampongeza Spika ndugai lazima ahojiwe, atoe sababu za ujinga huu

Kama huko nyuma mwanafunzi aliyepata mimba hakusoma hilo ni sawa, lakini wanaotaka kutoa mkopo masharti yao ni aliyezaa naye asome. Hautaki kutii hilo acha kukopa hela za wanaume fullstop.
 
Nyie mnaotetea ujinga wa Zitto,je mnaujua utaratibu wa bunge? Kwanini alitumia nembo ya bunge kama alikuwa anawasilisha hoja zake binafsi kama mtanzania?; Nampongeza Spika ndugai lazima ahojiwe, atoe sababu za ujinga huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Atahojiwa na atawapa ukweli wao. Hilo bunge na huyo spika wala hawajajitambui, wao wapo hapo kutii na kumsifu jiwe. Wakati Kangi anamtusi CAG kuhusu sare za jeshi, spika na wabunge wa ccm walikuwa wanashangilia, leo hii kafukuzwa na wao ndio wanajifanya watamuhoji. Upuuzi mtupu.
 
Ndio anataka mikutano ya siasa ili apate nafasi alete maji, umeme, ajira nk. Hao wanaozuia mikutano ya siasa hata wao wako madarakani kupitia hiyo hiyo siasa na wala hawakuoondua nchi. Kuleta umeme na maji ni wajibu, na wala sio tiketi ya kuzuia shughuli halali za kisiasa. Kama mtu anajiona hawezi kuleta maji au umeme bila kuzuia shughuli halali za kisiasa akae pembeni, ili aachie wanaoweza kutekeleza vyote kwa pamoja.
Kwa akili ya aina hiyo basi kweli unamuhitaji Zitto maana naona hata hujitambui. Yaani akihutubia unapata umeme na maji?
 
Huyu jamaa zitoe atakufa kifo cha aibu sana km alichokufa Goriath.
 
Kwa maoni yako unadhani utapata nafuu ya maisha kwa hizo kuni? Najua wengi tatizo hata siyo mkopo maana hamkujua hata huo mkopo. Tatizo ni maisha magumu. Pesa! Lakini, nani akugawie?
Nini maana ya, maisha magumu? Kama kuni zipo ongeza, moto uwake vizuri. Tujifunze kuheshimu utu wa mtu na si kuthamini pesa peke yake
 
Hivi ni lini mwanafunzi mjamzito aliruhusiwa kusoma? Mbona mnakuwa watu wa hovyo?

Kasomeni sera ya elimu na kanuni na utaratibu wa wanafunzi wanaopata ujauzito,

Kama nyuma kuna mwanafunzi alienda shule akiwa ashazaa naomba ushuhuda humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani upinzani umepinga hii sera alipoingia magufuli?? Haya mambo yamepigiwa kelele na asasi za kiraia tokea utawala wa mkapa hii pamoja na ile inayohalalisha mtoto mpaka wa miaka 13 kuolewa.

Sasa kwakuwa sahivi hatua zinachukuliwa basi ndio mnataka kuhalalisha kwa kusema kwakuwa huko nyuma tulifanya makosa basi tuendelee nayo??

Hatuwezi jenga nchi yenye uchumi jumuishi kama tutawaacha nje ya mfumo rasmi wanafunzi waliozaa!! Hvi ni faida gani mnaipata kuzuia watoto zaidi ya elfu 5000 wanaoacha masomo kila mwaka kisa wana mimba??

Mtoe adhabu nyingine kma fine kubwa,kufanya kazi ngumu kma kusafisha mitaro n. Ila sio kumnyima fursa ya kusoma ilihali aliyempa mimba anaendelea kusoma, it's not fair bila kujali ilianza na Nyerere au Magufuli.

Great thinkers wote humu tupaze sauti zetu kutetea inclusive education kma issue ni maadili yana namna ya kusolve sio kumfungia kusoma.
 
Wanaolengwa ni akina nani? akina Kabendela? Mikutano ya siasa? Hebu soma tena uone sababu zake. Hakuna hata moja anayozungumzia watu kukosa maji umeme au barabara. Anataka kwanza mikutano ya siasa
Bottom line ya kuongelea mikutano na kabendera ni checks and balances ili kuleta uwajibikaji serikalini.
Bila kwanza uhuru wa habari na mikutano ya siasa kutatengeneza uhuru mdogo wa maoni hivyo uwajibikaji wa serikali utashuka maana hamna wa kushauri/kukosoa/kuibua madudu.

Sasa hoja za kupinga sera mfano ya mwanafunzi kukatazwa kusoma kisa amejifungua zitakemewa na kuombwa marekebisho wapi kama vyombo vya habari na wapinzani hawapo bungeni wala mikutano hawafanyi??

One thing leads to the other......
 
Nawe unakuwa bwege wa wanasiasa. Zitto siyo mnafiki? Kuna mwanasiasa ambaye siyo mnafiki? Alipokuwa anapiga rushwa kwa mambo ya Buzwagi alikuwa anakutetea wewe? Shiiiit!
Kila mwanasiasa ni mnafiki, Mh, tutapona kweli?
 
Elia F Michael, Wewe usha kuwa msakatonge huna maana kwa sasa.

Kila jambo lina uzuri na ubaya wake. Hizo hela, ni wazi zingesaidia wengi tu na kuna watu wangefuta umaskini kwa hela hizo maana mzunguko wa fedha hizo ungetusaidia wengi.

Hata hivyo tunauliza, kwa nini iwe 2019 mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu?

Ziko wapi zile tambo za Tanzania ni dona kantry?

Ziko wapi tambo za kununua ndege kwa fedha cash kwa hoja kuwa pesa tunazo tena za kutosha?

Ziko wapi tambo za kuwa hatutaki oesa za mabeberu?

Ziko wapi kauli za kuwa sisomeshi wazazi mimi?

Kumbuka pia kuwa shughuli za kisiasa zimekwama nchini.

Kumbuka pia uhuru wa kujieleza umekwama nchini kwetu.

Kumbuka pia ccm wakiharibu wanabembelezwa lkn wapinzani wakiharibu wanapelekwa rumande na kesi za uhujumu.

Ni jambo la kukera eti Tito Magoti anashtakiwa kutakatisha fedha yaani 17m ambazo hela ya kawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito Hana anachoweza kuzuia mkopo toka taasisi yeyeto duniani.Kuamini hivo ni kumsingizia wao ufanya tafiti kabla ya kujidhihirisha,hakuna yeyeto asiyejua kwamba tunatawaliwa na madhalimu yanayokandamiza haki za wengi.

Wao wamechunguza wamethibitisha ya kwamba Pesa zao haziendi tumika kwenye malengo kusudio elimu ni kama chambo tu kupitishia.
 
Hii naiona kama mwanaume anapigana na mwanamke.Wanawake huwa wana akili sana tukiwazidi minguvu na mingumi huwa wanatushika sehemu fulani ya viungo vya mwili (vinauma sana)na kufinya hadi tunawaachia wenyewe.Huwa ni katika kujitetea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kumkemea nadhani ni busara hoja zikajibiwa kwa hoja - na nguvu ya hoja ndiyo inayoshinda siku zote. Na ndio maana kukawepo vyama vyenye mawazo mbadala (a.k.a vyama vya upinzani); na Zitto ametimiza wajibu wake kama mbunge mwenye mawazo mbadala.

Kwahiyo, ni wajibu wa serikali kupangua hoja za ZZK mbele ya WB - na tukubaliane kuwa wale watu wa WB sio vichaa, hivyo hawawezi kupokea hoja zisizo na mashiko. So, whoever proves to be right will win eventually - be it ZZK au 'Sirikali'.

Don't hate the player, hate the game bro. Na hii ndo game ya siasa, acha mchezo uendelee...
 
Back
Top Bottom