Wanaolengwa ni akina nani? akina Kabendela? Mikutano ya siasa? Hebu soma tena uone sababu zake. Hakuna hata moja anayozungumzia watu kukosa maji umeme au barabara. Anataka kwanza mikutano ya siasaHapo alichokisema ni sahihi hajatafuna maneno, maana hata tukipewa hizo fedha nyingi zinaishia mifukoni mwao wanao lengwa hawapati sasa ya nini kujiongezea madeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe unakuwa bwege wa wanasiasa. Zitto siyo mnafiki? Kuna mwanasiasa ambaye siyo mnafiki? Alipokuwa anapiga rushwa kwa mambo ya Buzwagi alikuwa anakutetea wewe? Shiiiit!
Wanaolengwa ni akina nani? akina Kabendela? Mikutano ya siasa? Hebu soma tena uone sababu zake. Hakuna hata moja anayozungumzia watu kukosa maji umeme au barabara. Anataka kwanza mikutano ya siasa
Nyie mnaotetea ujinga wa Zitto,je mnaujua utaratibu wa bunge? Kwanini alitumia nembo ya bunge kama alikuwa anawasilisha hoja zake binafsi kama mtanzania?; Nampongeza Spika ndugai lazima ahojiwe, atoe sababu za ujinga huuHivi ni lini mwanafunzi mjamzito aliruhusiwa kusoma? Mbona mnakuwa watu wa hovyo?
Kasomeni sera ya elimu na kanuni na utaratibu wa wanafunzi wanaopata ujauzito,
Kama nyuma kuna mwanafunzi alienda shule akiwa ashazaa naomba ushuhuda humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni lini mwanafunzi mjamzito aliruhusiwa kusoma? Mbona mnakuwa watu wa hovyo?
Kasomeni sera ya elimu na kanuni na utaratibu wa wanafunzi wanaopata ujauzito,
Kama nyuma kuna mwanafunzi alienda shule akiwa ashazaa naomba ushuhuda humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnaotetea ujinga wa Zitto,je mnaujua utaratibu wa bunge? Kwanini alitumia nembo ya bunge kama alikuwa anawasilisha hoja zake binafsi kama mtanzania?; Nampongeza Spika ndugai lazima ahojiwe, atoe sababu za ujinga huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili ya aina hiyo basi kweli unamuhitaji Zitto maana naona hata hujitambui. Yaani akihutubia unapata umeme na maji?Ndio anataka mikutano ya siasa ili apate nafasi alete maji, umeme, ajira nk. Hao wanaozuia mikutano ya siasa hata wao wako madarakani kupitia hiyo hiyo siasa na wala hawakuoondua nchi. Kuleta umeme na maji ni wajibu, na wala sio tiketi ya kuzuia shughuli halali za kisiasa. Kama mtu anajiona hawezi kuleta maji au umeme bila kuzuia shughuli halali za kisiasa akae pembeni, ili aachie wanaoweza kutekeleza vyote kwa pamoja.
Nini maana ya, maisha magumu? Kama kuni zipo ongeza, moto uwake vizuri. Tujifunze kuheshimu utu wa mtu na si kuthamini pesa peke yakeKwa maoni yako unadhani utapata nafuu ya maisha kwa hizo kuni? Najua wengi tatizo hata siyo mkopo maana hamkujua hata huo mkopo. Tatizo ni maisha magumu. Pesa! Lakini, nani akugawie?
Kwani upinzani umepinga hii sera alipoingia magufuli?? Haya mambo yamepigiwa kelele na asasi za kiraia tokea utawala wa mkapa hii pamoja na ile inayohalalisha mtoto mpaka wa miaka 13 kuolewa.Hivi ni lini mwanafunzi mjamzito aliruhusiwa kusoma? Mbona mnakuwa watu wa hovyo?
Kasomeni sera ya elimu na kanuni na utaratibu wa wanafunzi wanaopata ujauzito,
Kama nyuma kuna mwanafunzi alienda shule akiwa ashazaa naomba ushuhuda humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bottom line ya kuongelea mikutano na kabendera ni checks and balances ili kuleta uwajibikaji serikalini.Wanaolengwa ni akina nani? akina Kabendela? Mikutano ya siasa? Hebu soma tena uone sababu zake. Hakuna hata moja anayozungumzia watu kukosa maji umeme au barabara. Anataka kwanza mikutano ya siasa
Kila mwanasiasa ni mnafiki, Mh, tutapona kweli?Nawe unakuwa bwege wa wanasiasa. Zitto siyo mnafiki? Kuna mwanasiasa ambaye siyo mnafiki? Alipokuwa anapiga rushwa kwa mambo ya Buzwagi alikuwa anakutetea wewe? Shiiiit!