Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha ujengaji hoja na shouting!. Lissu ni shouter mzuri lakini amini usiamini sio strategist, ana maneno makali lakini sio makini sana kivile, kwa vile yeye ni mwanasheria, ndiye mnadhimu wa kambi ya upinzani Bungeni, hivyo Chadema wanamtegemea sana, interms of decision making, Zitto is more independent than Lissu, Zitto anaweza kutenda with minimum supervision lakini Lissu needs supervision, ukimuachia Lissu mwenyewe tuu anaweza kuwaingiza chaka!.Mmh P....!!!!!!
Hivi unataka kumlinganisha Lissu na Zitto kwenye hoja...????
Sent using Jamii Forums mobile app
strategist kivipi?!, wakati Lissu akizungumzia kuhusu mikataba mibovu itakavyoiingizia nchi hasara akaitwa msaliti akaadhibiwa kwa risasi za kutosha, but Zitto kawaandikia barua wazungu wasiipe Tanzania msaada wa elimu akasema apuuzwe! sasa hapa ndio unaulizwa Zitto ni nani?Zitto sio nyoka bali ni strategist
PZitto Zuberi Kabwe ni Mchochezi. Akamatwe, Ashitakiwe kwa Uchochezi, adai Rais Magufuli ni...
Wanabodi, Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu ndege mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli akizizindua, rais alisema ndege hizo ni mpya kabisa na zimenunuliwa kwa direct sale kutoka kiwandani, bila...www.jamiiforums.com
Kwani Lissu ameshambuliwa kwasababu za kauli zake?. Ile siku rais Magufuli anazungumzia wasaliti na huwa wanafanywa nini, kwani alitaja jina la mtu?. Kwani shambulio la Lissu ni adhabu?.strategist kivipi?!, wakati Lissu akizungumzia kuhusu mikataba mibovu itakavyoiingizia nchi hasara akaitwa msaliti akaadhibiwa kwa risasi za kutosha, but Zitto kawaandikia barua wazungu wasiipe Tanzania msaada wa elimu akasema apuuzwe! sasa hapa ndio unaulizwa Zitto ni nani?
Wewe ni shabiki tu wa Zitto, huna lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ndie mpinzani wa kweli, hakuwahi kuwa na urafiki wa mashaka na mtu yeyote toka serikakini, Lissu ni wakupinga kila jambo analoona sio sahihi tena kwa fact, but Zitto ni mwanasiasa mjanja, opportunist, alie tayari kuwa na urafiki na yeyote ilimradi interest zake kwenye siasa ziendelee.Mkuu Blindspot, una hoja au huna hoja, lakini hustahili kupuuzwa.
Ni mada inayostahiri kupimwa kwa kina. Ngoja nitafakari haya mazito uliyoweka hapa, tena kwa mpangilio mzuri kabisa.
Lakini..., hata Lissu kaingizwa mkenge, au.... Hakutahadharishwa na chama chake?
La kushangaza zaidi, ni huu uvumilivu iliokuwa nao timu nzima ya mtu asiyependa kuhojiwa chochote..., kulikoni hapa?
Na kwa upande wa pili; anayoyaandika na kuyazungumzia Mh Zitto ni mambo makubwa sana kiasi kwamba yanaweza 'kuupuzwa' tu kwa sababu wanajua anachofanya...HAPANA, sio rahisi kiasi hicho.
Mh Zitto anachimbua hasa. Hii sio gelesha tu ya kuwaweka watu usingizi.
Mkuu 'Blindspot' bado unayo hoja ya kujibu. Bado hujashawishi vya kutosha. Mwaga mtama zaidi.
Kwa hapo ulipoishia, wewe mwenyewe unaweza kuwa sehemu maalum ya kuwalaza akili watu, ukiwa upande wa hao wanaopigwa mawe. Huu mchezo unahitaji akili kubwa kuutambua eti!
Hapa ndio napoipenda kazi ya intelligencia!1.Miaka ya 2005 zito alipambana sana kuhusu mikataba ya midini hadi wakina karamagi wakatolewa. Baadaye akaula kuwa mwenyekiti wa Pac pamoja na Cheyo akipewa kamati ya laac. Baadaye kipindi cha makinda hizi kamati ya cheyo na zito ziliungana lakini bado uenyekiti akapewa Zito. Nani yupo nyuma yake.
2. Zito alituhumiwa na wenzake chadema kuwahujumu na kuwasaliti japo sikuamini lakini kipindi hiko kuliibuka urafiki mkubwa kati ya Zito na Zoka (boss wa kitengo masuala ya siasa)..Zito na Jk(urafiki wa siri). Zito na Makinda. Zito na Dau. Zito na Msechu. Zito na January Makamba..zito na mwigulu..Wale wote ambao Waliokuwa wanampigania zito walilamba vyeo serikalini. Kuna kijana km Mwampamba..Juliana Shonza.. KITILA. Mama Anna wa kilimanjaro wote wapo serikalini. Je zito ni nani?
3. Mapema baada ya Rais kuapishwa Zito alimsifia sana Rais. Gafla Zito akabadilika. Mwaka 2017 Zito alikuwa mtu wa kwanza kutweet suala la ndege kushikiliwa Canada..Lisu akaitisha press akiwa na Zito..majanga yakampata Lisu. Lisu alikuwa kila siku akihudhuria mahakamani kwa kumkosoa bwana mkubwa. Zito ameisema sana Serikali hii kuwa ni ya washamba..mara gangstar..Siri zote za serikali anatupa yeye..mfano ndege kukamatwa south..canada..kesi ya mkulima..n.k but lini Zito umeona akisumbuliwa. Je zito ni nani?
4. Leo tumeona barua ambayo Zito na watu kadhaa wameandika barua World bank kuhusu tanzania kunyimwa msaada wa billion 500 kusaidia masuala ya elimu..umeona response ya mkuu wa nchi amesema tuwapuuzeni tu hao.
Ingekuwa ndiyo Lisu kaandika pangechimbika...Je Zito ni nani?
Kwa upande wangu Zito ni mtoto wao na wanampromote kutuaminisha sisi na wale wa nje kuna demokrasia Tanzania. Na 2020 Zito ndiyo atakuwa Kub bungeni..kule zanzibar atapata wabunge wengi plus yeye huku bara italazimishwa chadema watangazwe wachache ili wasimpiku Zito. Hii moviea chadema wanajua ndiyo maana wanasita sana kushirikiana na Zito 2020. Ebu angalia kosa la viongozi wa chadema ni kuhamasisha wafuasi wao kudai fomu za wakala kwenye uchaguzi wa kinondoni. Mbowe na matiko walikaa four months mahabusu..na bado kesi inaendelea.
Leo Zito hajawahi kuguswa.
Zito ni mwenzao na puppet tu. Yes yupo smart lakini ni wa kwao.
Jf nyuzi km hizi siyo za kufuta..hazina shida.
Naona umegeuka msemaji wa Zitto kabisa, yaani unasema Lissu alikutwa na majanga sababu hakuripoti polisi, but ingekuwa Zitto angeitisha press na kuripoti polisi!, hivi kazi ya polisi ni nini? baada ya Lissu kupigwa risasi walisema uchunguzi utaanza, baada wakasema uchunguzi unesitishwa eti kwa sababu tu Lissu hayupo nchini! wewe nae umeongeza swali jingine kwenye mada, Zitto ni nani?Duh Mkuu Blindspot, nijibu mara ngapi na nimeishakujibu kuwa Zitto anaikosoa serikali kwa kutumia hoja zenye nguvu ya hoja na sio hoja za nguvu, yuko makini sana kwenye kuchagua maneno yake na kauli zake, hivyo hawana pa kumshikia.
Mfano Tundu Lissu alipobaini kuna gari linamfuatilia, aliitisha press conference na kutangazia umma, kisha akatulia, angekuwa ni Zitto, angeanzia kuripoti kwanza polisi na kunakohusika, kisha kufanya press conference, unadhani wasiojulikana wangeendelea kumfuatilia?.
Wapinzani wengine wengi wanaingia matatizoni kutokana na uropokaji, Zitto ni mjengaji hoja mzuri na ni strategist.
Chadema, ukimuondoa Zitto na Prof. Kitila Mkumbo, haina kabisa ma strategists.
Angalia mfano mwingine huu wa Zitto alipotuhumiwa kupika data, msikilize anachosema
PFace to Face with Zitto Kabwe: Kuhusu Kupika Data, "Namheshimu Sana Rais Magufuli ila Sio Mkweli!. Uchumi Umesinyaa!.
Wanabodi Nimekutana na Mhe. Zitto Kabwe katika event ya Policy Forum pale British Council last week, nimefanya nae a short interview ya maswali mawili tuu. 1. Hoja ya yeye kupika data za kiuchumi kwa nini anatofaitiana na mamlaka rasmi za taarifa za makusanyo, nani kati ya serikali na yeye ndie...www.jamiiforums.com
Kwa kweli nimesoma ujumbe hakoka naona Kama kuna Jambo hapa, wapinzani hasa chadema wamekuwa wakihangaika kila kukicha mahakamani kutokana na mvutano na serikali ya sasa Cha ajabu zitto amekuwa akiongea Mambo mazito Tena waziwazi lakini habughudhiwi Kama ilivyo kwa wenzao wa upinzani, yamkini zitto Ana akili Sana lakini je ndo kusema ya kwamba bwana mkubwa anamgwaya zitto?1.Miaka ya 2005 zito alipambana sana kuhusu mikataba ya midini hadi wakina karamagi wakatolewa. Baadaye akaula kuwa mwenyekiti wa Pac pamoja na Cheyo akipewa kamati ya laac. Baadaye kipindi cha makinda hizi kamati ya cheyo na zito ziliungana lakini bado uenyekiti akapewa Zito. Nani yupo nyuma yake.
2. Zito alituhumiwa na wenzake chadema kuwahujumu na kuwasaliti japo sikuamini lakini kipindi hiko kuliibuka urafiki mkubwa kati ya Zito na Zoka (boss wa kitengo masuala ya siasa)..Zito na Jk(urafiki wa siri). Zito na Makinda. Zito na Dau. Zito na Msechu. Zito na January Makamba..zito na mwigulu..Wale wote ambao Waliokuwa wanampigania zito walilamba vyeo serikalini. Kuna kijana km Mwampamba..Juliana Shonza.. KITILA. Mama Anna wa kilimanjaro wote wapo serikalini. Je zito ni nani?
3. Mapema baada ya Rais kuapishwa Zito alimsifia sana Rais. Gafla Zito akabadilika. Mwaka 2017 Zito alikuwa mtu wa kwanza kutweet suala la ndege kushikiliwa Canada..Lisu akaitisha press akiwa na Zito..majanga yakampata Lisu. Lisu alikuwa kila siku akihudhuria mahakamani kwa kumkosoa bwana mkubwa. Zito ameisema sana Serikali hii kuwa ni ya washamba..mara gangstar..Siri zote za serikali anatupa yeye..mfano ndege kukamatwa south..canada..kesi ya mkulima..n.k but lini Zito umeona akisumbuliwa. Je zito ni nani?
4. Leo tumeona barua ambayo Zito na watu kadhaa wameandika barua World bank kuhusu tanzania kunyimwa msaada wa billion 500 kusaidia masuala ya elimu..umeona response ya mkuu wa nchi amesema tuwapuuzeni tu hao.
Ingekuwa ndiyo Lisu kaandika pangechimbika...Je Zito ni nani?
Kwa upande wangu Zito ni mtoto wao na wanampromote kutuaminisha sisi na wale wa nje kuna demokrasia Tanzania. Na 2020 Zito ndiyo atakuwa Kub bungeni..kule zanzibar atapata wabunge wengi plus yeye huku bara italazimishwa chadema watangazwe wachache ili wasimpiku Zito. Hii moviea chadema wanajua ndiyo maana wanasita sana kushirikiana na Zito 2020. Ebu angalia kosa la viongozi wa chadema ni kuhamasisha wafuasi wao kudai fomu za wakala kwenye uchaguzi wa kinondoni. Mbowe na matiko walikaa four months mahabusu..na bado kesi inaendelea.
Leo Zito hajawahi kuguswa.
Zito ni mwenzao na puppet tu. Yes yupo smart lakini ni wa kwao.
Jf nyuzi km hizi siyo za kufuta..hazina shida.
Kiongozi wa nchi kutoa kauli km ile halafu after few days linatokea jambo km lile then unajaribu kujikwepesha hapa ingekuwa ni nchi zilizoendelea Rais wa nchi angekuwa responsible, uchunguzi ungeanzia kwake, tuache unafiki, nasisitiza Lissu ndie mpinzani kamili mwenye msimamo na kile anachokiamini, sio Zitto mwenye tabia za kinyonga,Kwani Lissu ameshambuliwa kwasababu za kauli zake?. Ile siku rais Magufuli anazungumzia wasaliti na huwa wanafanywa nini, kwani alitaja jina la mtu?. Kwani shambulio la Lissu ni adhabu?.
Kama kuna yoyote anamjua aliyepanga shambulio la Lissu aripotiwe kunako husika, naendelea kusisitiza
Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...www.jamiiforums.com
Shambulio la Lissu limefanywa na watu wasiojulikana
Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...www.jamiiforums.com
P
halafu jamaa anatudanganya kwa sababu Zitto ni strategist na maneno yake mengii!Kwa kweli nimesoma ujumbe hakoka naona Kama kuna Jambo hapa, wapinzani hasa chadema wamekuwa wakihangaika kila kukicha mahakamani kutokana na mvutano na serikali ya sasa Cha ajabu zitto amekuwa akiongea Mambo mazito Tena waziwazi lakini habughudhiwi Kama ilivyo kwa wenzao wa upinzani, yamkini zitto Ana akili Sana lakini je ndo kusema ya kwamba bwana mkubwa anamgwaya zitto?
Umefaidika nn?? Na inabadilisha nini? TZ ni nchi huru yenye kujiamulia mambo yake, That is freedom, and the basis of sovereign state.Hongera Zitto