Politics ni game mzee imacheza na tactics tu! kipindi kile lissu alikwenda kichwa kichwa bila kuusoma mchezo vizuri,zitto anajua kuusoma mchezo mfano mzuri baada ya Lissu na Mbowe kupatwa na maswaiba wa Mkono wa Chuma wa baba jesca ni dhahili baada ya hilo saga kumalizika kutokana na watu kulipigia sana kelele nii wazi kabisa utawala wa baba jesca usingefanya mfanya mtu chochote kama ingetokea kuanza kuichafua Serikali-na hapa ndipo zitto anatumia fursa hii.
Maana ikitokea Mwanasiasa Mkubwa kama zitto apatwe na lolote ni pigo kwa Serikali ndio maana anakuwa nacheza mchezo bila wasiwasi,Kitu kingine ni POWER Mbowe na Lissu wana madhara sana kwa serikali kuliko zitto sababu ya power ya wafuasi wengi wa CDM.