Kuchepuka gharama sana

Kuchepuka gharama sana

Dah... Mwanaume yoyote akibarikiwa nguvu za misuli na uchumi huchepuka kwa urahisi Sana....
Wengi wasiochepuka Wana upungufu wa hizo bidhaa

Sent using Beretta ARX 160
Ngoja uchumi wangu ukue tuone kama nitachepuka
 
[emoji23][emoji23]
IMG-20190314-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah... Mwanaume yoyote akibarikiwa nguvu za misuli na uchumi huchepuka kwa urahisi Sana....
Wengi wasiochepuka Wana upungufu wa hizo bidhaa

Sent using Beretta ARX 160
Basi kwanini kulalamika garama za uchepukaji
 
Unaonekana unachepuka na vimada wa bei poa sana,wanakubali guest badala ya hotel?halafu 30,000/=,eti vinywaji 30,000/=,nacheka kama mzee mtekaji(boss) wa apocalypto alipomuokoa jaguar paw asichinjwe.
Mkuu hiyo michepuko si ya kuiamini, we utamuona matawi na kumpeleka hotel lakini kuna wenzio watamlamba gesti au ghetto kabisa.
 
Back
Top Bottom