Kuchepuka gharama sana

Kuchepuka gharama sana

Kuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=

Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.

Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=

Kilichoendelea ni siri yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni genius !



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom