The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Haswaaa,Kwenye kuchepuka gharama Kubwa ipo kwenye kujificha na kukosa amani,,sio pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa,Kwenye kuchepuka gharama Kubwa ipo kwenye kujificha na kukosa amani,,sio pesa
Dah una experience?Haswaaa,
Sijakuelewa hapaHuwa unachangia?
Gharama za kuchepuka.Sijakuelewa hapa
Nauli ya bodaboda,uber au drimulaina?Hapa mchepuko unataka niutumie naulii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uber babaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 15 K asubuhi hiii hapana aiseee...deto inaweza husikaNauli ya bodaboda,uber au drimulaina?
Asubuhi yote hii hamna kazi ?Uber babaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 15 K asubuhi hiii hapana aiseee...deto inaweza husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
[emoji847][emoji847][emoji847]Dah una experience?
Hata kama gharama ni ndogo kiasi cha shilling 5000,,ila hazifikii za kukosa amaniGharama za kuchepuka.
Kabisa ila kuchepuka inashawishi sanaHata kama gharama ni ndogo kiasi cha shilling 5000,,ila hazifikii za kukosa amani
😂😂😂😂,,wanashawishi sana eee
Halafu hakuna jipya wala
Tatizo watu siku hizi ni wabishi sana.
We ni genius !Kuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=
Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.
Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=
Kilichoendelea ni siri yangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
bado hujaachiwa UTIGuest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Ila vitu vya kukosesha amani vina raha sanaHata kama gharama ni ndogo kiasi cha shilling 5000,,ila hazifikii za kukosa amani