Sio lazima kabisaKwani lazima uchepuke
Ewaaaa...Hao wanaosema kuchepuka ni gharama hebu watuwache tupumue miaka 800...Miwani tuliisahau pale bar mchepuko wangu, ngoja nikaichukue
Jiandae weekend hii lazima nikupandishe kileleni upate vitu...Na mie naomba vitu
Wanaume tunakaubinafsi fulani. Mahitaji tunahisi ni sisi tu ndo tunahitajiUkiwa mbinafsi katika mahusiano yako na mkeo lazima uwe na mawazo kama haya.
Dah... Mwanaume yoyote akibarikiwa nguvu za misuli na uchumi huchepuka kwa urahisi Sana....Kwani lazima uchepuke
Ngoja uchumi wangu ukue tuone kama nitachepukaDah... Mwanaume yoyote akibarikiwa nguvu za misuli na uchumi huchepuka kwa urahisi Sana....
Wengi wasiochepuka Wana upungufu wa hizo bidhaa
Sent using Beretta ARX 160
Hahaha hahaha hahahaEwaaaa...Hao wanaosema kuchepuka ni gharama hebu watuwache tumue miaka 800...
Daah!Umechepuka weee hela zimeisha ndio unaanza kupga hesabu et ubaki njia kuu..
my brother sema tu umefulia over...
EwaaaaaJiandae weekend hii lazima nikupandishe kileleni upate vitu...
Kwishaa habariDaah!
Umaskini wao isiwe kero yetu...Hahaha hahaha hahaha
Watakutoa macho jamani
Nitumie kale ka vitz hebu, mechoka uber za kila sikuUmaskini wao isiwe kero yetu...
Tutachepuka milele...
Basi kwanini kulalamika garama za uchepukajiDah... Mwanaume yoyote akibarikiwa nguvu za misuli na uchumi huchepuka kwa urahisi Sana....
Wengi wasiochepuka Wana upungufu wa hizo bidhaa
Sent using Beretta ARX 160
OverUmechepuka weee hela zimeisha ndio unaanza kupga hesabu et ubaki njia kuu..
my brother sema tu umefulia over...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuchepuka kuna raha yake jamani... Kunafanya ubongo wako uwe active maana lazima uwe chonjo usikamatwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo michepuko si ya kuiamini, we utamuona matawi na kumpeleka hotel lakini kuna wenzio watamlamba gesti au ghetto kabisa.Unaonekana unachepuka na vimada wa bei poa sana,wanakubali guest badala ya hotel?halafu 30,000/=,eti vinywaji 30,000/=,nacheka kama mzee mtekaji(boss) wa apocalypto alipomuokoa jaguar paw asichinjwe.
Huwa unachangia?Kwenye kuchepuka gharama Kubwa ipo kwenye kujificha na kukosa amani,,sio pesa