Kuchepuka gharama sana

Kuchepuka gharama sana

Kuna siku yamenipata mahesabu ya fasta fasta nikaona itakuwa 145,600/=

Nili-focus mbele zaidi safari yangu ikaishia sokoni.
Nilinunua mchele, sukari, tambi , maharage, dagaa na samaki.

Nahisi niliongeza siku za furaha nyumbani. Nilimpigia simu kuwa nimepata dharura, nikamrushia 15,000/=

Kilichoendelea ni siri yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana unachepuka na vimada wa bei poa sana,wanakubali guest badala ya hotel?halafu 30,000/=,eti vinywaji 30,000/=,nacheka kama mzee mtekaji(boss) wa apocalypto alipomuokoa jaguar paw asichinjwe.
Duh hio 100,000 kichwa kinauma, ina maana ni ndogo sana?
 
Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Hivi unafikiri wanaume wanapenda kuchepuka?
mke kajifungua utasubiri miezi kadhaa?
Mke kila akirudi toka kazi amechoka utafanyaje?
Mke baada ya kupata watoto mapenzi yote kageuzia kwa watoto
Mke hataki style mbali mbali kama zile za uchumba mchepuko hizo unazipata bila shida
Mke kisha zeeka na wewe unataka dogodogo

@nahuja
Madame B
Mshana Jr
funzadume
msafwa93
OKW BOBAN SUNZU
 
Kweli hamna jipya.. Kuna siku nilitaka nipashe kiporo kwa ex wang.. Ila siku ya tukio nikaanza kujiuliza kuna kipi kipya, nikawaza hela ya lodge na risk ya wife kugundua nikajikuta nahairisha!!
Ukiwaza hela inayopotea unaahirisha pambano
 
Hivi unafikiri wanaume wanapenda kuchepuka?
mke kajifungua utasubiri miezi kadhaa?
Mke kila akirudi toka kazi amechoka utafanyaje?
Mke baada ya kupata watoto mapenzi yote kageuzia kwa watoto
Mke hataki style mbali mbali kama zile za uchumba mchepuko hizo unazipata bila shida
Mke kisha zeeka na wewe unataka dogodogo

@nahuja
Madame B
Mshana Jr
funzadume
msafwa93
OKW BOBAN SUNZU
Ndio maana nikasema watanzania wote wenye uwezo angalau wa kulipa gest wanachepuka isipokuwa Rais tu
 
Back
Top Bottom