Kuchepuka gharama sana

Kuchepuka gharama sana

Neno nalo lasema hivi
20190314_212750.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupoteza kilo 1 tu kwa siku ndio unajiuliza maswali yote hayo...!!!
 
Ukitaka kuchepuka na huna hela ndio utapiga mahesabu hivi, ila kama hela ipo wala hutaipigia mahesabu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunao chepuka na Majimama ,yanayogharamia kila kitu tunakoment wapi?
 
Sifa za kijinga hizi... Usikute unatumia kondom,... Una tofauti gani na kupiga nyeto kwa gharama zote hizo... Acha ufala dogo
Unaonekana unachepuka na vimada wa bei poa sana,wanakubali guest badala ya hotel?halafu 30,000/=,eti vinywaji 30,000/=,nacheka kama mzee mtekaji(boss) wa apocalypto alipomuokoa jaguar paw asichinjwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom