Kuchepuka gharama sana

Kuchepuka gharama sana

Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Vinywaji na msosi 30k tu mbona ndogo mkuu, labda ukamvutishe ugoro na akale mihogo,

Happiness is a lifestyle
 
Hatuna njaa ya msosi wala pombe, 30,000/- inatosha Sana Kwa siku
Hapo anakula chips yai ngapi [emoji23][emoji23], labda awe mlevi wa chips yai ndiyo utaokoa bajeti yako

Happiness is a lifestyle
 
Hivi unafikiri wanaume wanapenda kuchepuka?
mke kajifungua utasubiri miezi kadhaa?
Mke kila akirudi toka kazi amechoka utafanyaje?
Mke baada ya kupata watoto mapenzi yote kageuzia kwa watoto
Mke hataki style mbali mbali kama zile za uchumba mchepuko hizo unazipata bila shida
Mke kisha zeeka na wewe unataka dogodogo

@nahuja
Madame B
Mshana Jr
funzadume
msafwa93
OKW BOBAN SUNZU
kuchepuka kuna raha yake mie ukumbuka kuwa ni gharama na kuikumbuka familia nikipiga bao la pili ndio akili inakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo anakula chips yai ngapi [emoji23][emoji23], labda awe mlevi wa chips yai ndiyo utaokoa bajeti yako

Happiness is a lifestyle
Kwani hamna chakula kingine kwa bei hii zaidi ya chips yai? Kumbe huu mtandao ni wa matajiri 30,000 haiwatoshi Kula wawili. Huwa unatumia bei gani na hoteli gani?
 
Nani kaweka vigezo? Hio ni bajeti yangu kwa tukio.
Ndio umeweka bajeti ya Denti au Barmaid au mpita njia kama Huyu
IMG-20190315-WA0049.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom