- Thread starter
- #141
Kwenye WhatsApp group ya MarioTunao chepuka na Majimama ,yanayogharamia kila kitu tunakoment wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye WhatsApp group ya MarioTunao chepuka na Majimama ,yanayogharamia kila kitu tunakoment wapi?
Vinywaji na msosi 30k tu mbona ndogo mkuu, labda ukamvutishe ugoro na akale mihogo,Guest 30,000
Vinywaji na misosi 30,000
Usafiri 10,000
Kifuta jasho 30,000
Haraka haraka 100,000!
Wacha nibaki njia kuu hio 100,000 najaza friji mapochopocho kibao.
Maisha ya wasiwasi kama unaoga nje,Kuchepuka kuna raha yake jamani... Kunafanya ubongo wako uwe active maana lazima uwe chonjo usikamatwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mchungaji habari yakoHalafu hakuna jipya wala
Hatuna njaa ya msosi wala pombe, 30,000/- inatosha Sana Kwa sikuVinywaji na msosi 30k tu mbona ndogo mkuu, labda ukamvutishe ugoro na akale mihogo,
Happiness is a lifestyle
Nzuri baba ParokoMama mchungaji habari yako
Happiness is a lifestyle
Kwanini umehisi mchepuko ulikuwa dent?
Hii Inaweza kuwa solution
Hapo anakula chips yai ngapi [emoji23][emoji23], labda awe mlevi wa chips yai ndiyo utaokoa bajeti yakoHatuna njaa ya msosi wala pombe, 30,000/- inatosha Sana Kwa siku
Soma vigezo alivyoweka hapoKwanini umehisi mchepuko ulikuwa dent?
Twende kwenye ibada hapakufai hapaNzuri baba Paroko
SawaTwende kwenye ibada hapakufai hapa
Happiness is a lifestyle
Nani kaweka vigezo? Hio ni bajeti yangu kwa tukio.
kuchepuka kuna raha yake mie ukumbuka kuwa ni gharama na kuikumbuka familia nikipiga bao la pili ndio akili inakaa sawaHivi unafikiri wanaume wanapenda kuchepuka?
mke kajifungua utasubiri miezi kadhaa?
Mke kila akirudi toka kazi amechoka utafanyaje?
Mke baada ya kupata watoto mapenzi yote kageuzia kwa watoto
Mke hataki style mbali mbali kama zile za uchumba mchepuko hizo unazipata bila shida
Mke kisha zeeka na wewe unataka dogodogo
@nahuja
Madame B
Mshana Jr
funzadume
msafwa93
OKW BOBAN SUNZU
Kwani hamna chakula kingine kwa bei hii zaidi ya chips yai? Kumbe huu mtandao ni wa matajiri 30,000 haiwatoshi Kula wawili. Huwa unatumia bei gani na hoteli gani?Hapo anakula chips yai ngapi [emoji23][emoji23], labda awe mlevi wa chips yai ndiyo utaokoa bajeti yako
Happiness is a lifestyle
Ndio umeweka bajeti ya Denti au Barmaid au mpita njia kama HuyuNani kaweka vigezo? Hio ni bajeti yangu kwa tukio.