Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

kunywa.kucheza na kuvaa utakavyo sio haramu ukristoni kwa miongozo ya makanisa yetu
 
kunywa.kucheza na kuvaa utakavyo sio haramu ukristoni
Kuna andiko au reference yoyote katika hilo? Je kunuwa, kucheza na kuvaa utakavyo ikiwemo pia kuingilia wanaume kwa wanaume, kuingilia wanyaa, kubusiana na kurambana midomo wanaume kwa wanaume kuna katazo lolote katika uislam?

Naomba andiko kwenye quran linalokataza watu kunywa pombe au kutokula Nguruwe?
 
Allah naye aanze kugawa bikra 72 misikitini. Mpk ufe uwakute peponi inachosha sana.
Ukiingia msikitini kila muumini unapewa mabikra 72 hakuna kuwasubiria akhera. Hii itaongeza waumini wengi sana msikitini na atapata wafuasi wengi sana wakiislamu.
 
Na Gospel Taarab iwepo pia " halohalo halo ya wakaldayo. Shetani limemshuka"
 
Kuna sehemu moja(jina sitaji nisiongeze wazinzi). Ni ghorofa mbili. Juu ghorofa la pili, ni kanisa. Ghorofa ya kwanza, ni bar. Ground floor,ni lodge. Sasa nahisi waumini wakishuka wana kiu,wanapita bar wanapooza koo. Zikikolea,na kausingizi kidogo,wanashuka lodge na kusafishana,badae wanasepa zao
 
Al
Allah naye aanze kugawa bikra 72 misikitini. Mpk ufe uwakute peponi inachosha sana.
Ukiingia msikitini kila muumini unapewa mabikra 72 hakuna kuwasubiria akhera. Hii itaongeza waumini wengi sana msikitini na atapata wafuasi wengi sana wakiislamu.
Al. Akb
 
Papa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi wapentecoste tuna disco letu (praise and worship events), kila ibada lazima iwe inamuda wa kusifu!

Kauli mbiu yetu ni "Mfalme Daudi alicheza mpaka nguo ikachanika"
Hahahaha munachagua sehemu zinazowafurahisha
 
Mbona tuna mikesha mkuu tena inavibe kuliko hayo uliyoyainisha hapo maana yanachosha nafsi na roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…