Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

Ukileta mada kama hizi tena zenye reference ya quran na hadithi Moderator ,YinYang Paw Wanazifuta eti unakashfu na kuleta uhasama ila hizi mada zisizo na mbele wala nyuma.zinazokashfu ukristo wao wanaona sawa tu. Tena mada nyingine wanapeleka kwenye jukwaa la alafu wewe mleta uzi hawakuingizi lwenye hilo jukwaa la dini. Majinga kabisa yana upendeleo na yanatunyanyasa na li forum lao.
kunywa.kucheza na kuvaa utakavyo sio haramu ukristoni kwa miongozo ya makanisa yetu
 
kunywa.kucheza na kuvaa utakavyo sio haramu ukristoni
Kuna andiko au reference yoyote katika hilo? Je kunuwa, kucheza na kuvaa utakavyo ikiwemo pia kuingilia wanaume kwa wanaume, kuingilia wanyaa, kubusiana na kurambana midomo wanaume kwa wanaume kuna katazo lolote katika uislam?

Naomba andiko kwenye quran linalokataza watu kunywa pombe au kutokula Nguruwe?
 
huu mjadala wetu wakristo hao kina takbir wanaingiaje humu ?

Toa mawazo ni vipi makanisa yanaweza kunogesha shughuli zake kwetu waumini, binafsi naona kucheza pekee kanisani haitoshi inabidi turuhusiwe kupata vibe kwa kustia kidogo glasi mbili ama tatu kwakuwa kunywa sio haramu
Allah naye aanze kugawa bikra 72 misikitini. Mpk ufe uwakute peponi inachosha sana.
Ukiingia msikitini kila muumini unapewa mabikra 72 hakuna kuwasubiria akhera. Hii itaongeza waumini wengi sana msikitini na atapata wafuasi wengi sana wakiislamu.
 
Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho.

Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi?

Ndani ya club waumini wanywe pombe, wavae mavazi ya kwendea disko na wacheze kwa kukata mauno maana hakuna mipaka ya kucheza.
Na Gospel Taarab iwepo pia " halohalo halo ya wakaldayo. Shetani limemshuka"
 
Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho.

Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi?

Ndani ya club waumini wanywe pombe, wavae mavazi ya kwendea disko na wacheze kwa kukata mauno maana hakuna mipaka ya kucheza.
Kuna sehemu moja(jina sitaji nisiongeze wazinzi). Ni ghorofa mbili. Juu ghorofa la pili, ni kanisa. Ghorofa ya kwanza, ni bar. Ground floor,ni lodge. Sasa nahisi waumini wakishuka wana kiu,wanapita bar wanapooza koo. Zikikolea,na kausingizi kidogo,wanashuka lodge na kusafishana,badae wanasepa zao
 
Al
Allah naye aanze kugawa bikra 72 misikitini. Mpk ufe uwakute peponi inachosha sana.
Ukiingia msikitini kila muumini unapewa mabikra 72 hakuna kuwasubiria akhera. Hii itaongeza waumini wengi sana msikitini na atapata wafuasi wengi sana wakiislamu.
Al. Akb
 
Papa ameshatoa kibali waumini watoe vinyeo na waoane kanisa litafungisha ndoa ya jinsia moja, hata hiyo hoja yako ataifanyia kazi tu ili kuwe na disko la waumini mcheze na bikini [emoji160]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi wapentecoste tuna disco letu (praise and worship events), kila ibada lazima iwe inamuda wa kusifu!

Kauli mbiu yetu ni "Mfalme Daudi alicheza mpaka nguo ikachanika"
Hahahaha munachagua sehemu zinazowafurahisha
 
Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho.

Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi?

Ndani ya club waumini wanywe pombe, wavae mavazi ya kwendea disko na wacheze kwa kukata mauno maana hakuna mipaka ya kucheza.
Mbona tuna mikesha mkuu tena inavibe kuliko hayo uliyoyainisha hapo maana yanachosha nafsi na roho
 
Back
Top Bottom