sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
kunywa.kucheza na kuvaa utakavyo sio haramu ukristoni kwa miongozo ya makanisa yetuUkileta mada kama hizi tena zenye reference ya quran na hadithi Moderator ,YinYang Paw Wanazifuta eti unakashfu na kuleta uhasama ila hizi mada zisizo na mbele wala nyuma.zinazokashfu ukristo wao wanaona sawa tu. Tena mada nyingine wanapeleka kwenye jukwaa la alafu wewe mleta uzi hawakuingizi lwenye hilo jukwaa la dini. Majinga kabisa yana upendeleo na yanatunyanyasa na li forum lao.