Kuchezea mpira kwenye kambi ya Jeshi yenye ulinzi mkali kumetuangusha Yanga, tunashindwa kuingia uwanjani usiku kufanya mila na tamaduni

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani...

Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jeshini hawapendagi ujinga,
Sindano zao wangedungana kwenye gari.
 
Acha u deogratius Nalimi Kissandu
 
Bila ulozi na bahasha hawa yanga hakuna lolote.

Hakuna mechi ya ajabu kama ile ya Dodoma jiji.Hawa wachezaji wanaocheza Dodoma jiji hawafai kusajiliwa na timu yoyote ni wa hovyo sana
Labda waende huko nyuma mwiko
 
Keani lazima waweke usiku ? Mbona wanaweka dak yeyote mchezo ??hizonzako za zamani sanaaa.....kamati ufundi...mtaalam anakuwepo uwanjani akichezesha game pale alipo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…